Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
A month after a CitiBank analyst predicted that Samsung may sell over 50 million units of the Galaxy S6 and S6 Edge, the South Korean company has said that it is expecting sales of its latest...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Habari za kazi? Juzi nilikuwa nafanya maombi kwenye vyuo mbali mbali vya afya through NACTE online registration sasa nkakosea email, nashindwa kuendelea na chochote. Nawapigia hawapokei nawatumia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nime dowload whatsapp na nimeingiza namba yangu ya airtel lakini inshindwa ku connect.Nimejaribu zaidi ya mara kumi,naomba msaada.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
dear Members Last night I lost my smart phone Huawei Ascend Y330-U11 It was installed with a gps tracker app but I do not know how to go about to locate it. Is it possible to trace it and know...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Samahani wakuu, naulizia kuhusu ufungaji wa spika za bass(sub woofer za magari), hivi inahitaji utaalamu wa hali ya juu sana au kawaida tu na kama inahitaji utaalamu sana mambo gani ya muhimu ya...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
Bwana mkubwa Google anazidi kurahisisha maisha kwa watumiaji wa Android. Nenda Google Search andika na tafuta 'Find My Phone' ...utapata mtaa kupitia ramani ya Google mapa na pia utaweza hadi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kesho natarajia kwenda kununua simu ya touch kwenye duka moja wapo la tigo au airtel kwa tigo ni huawei na airtel nadhani ni aitel kama sikosei naomba msaada wa kiutalaamu zaidi niende duka gani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naombeni aplication a kudownload video za u tube kwenye androad ..kila ninayodown load mimi naona ni kimeo tu
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Akaunti yng ya Facebook imekuwa Disabled. Ina maana siwezi kufungua mpaka nifuate maelekezo yao ya Security Identification. Nikifika sehemu ya kutambua picha na jina lake huyo mtu, nashindwa...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
​Habarini Wanajamii Jana usiku nimeibiwa Smart phone yangu aina ya Huawei Y330-U11. Simu mpaka saa hizi haipatikani ndo niko njiani kuelekeaa Tigo kuripoti na kupata line mpya. Naomba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa yule mzoefu na football games kama PES 2014 naomba msaada Nina pes 2014 na 2015 lakini nikiconnect pads za double shock ili tucheze watu wawili haiwezekani so ambae anajua hilo swala...
0 Reactions
2 Replies
768 Views
jamani naombe msaada wenu wadau nina pes 2014 na pes 2015 lakini zote ninapoconect pad hazichez ninatumia key board tu sijui nifanyaje nisaidieni jinsi ya kuweza kuchezea pad kwenye pes
0 Reactions
4 Replies
3K Views
mwenye setup za window 10 aniwekee kwenye laptop yangu,nna elfu10
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi hii app inaonyesha mechi zilizopita au hatazile ambazo ni live na ili uzione live unafuata njia zipi!
0 Reactions
3 Replies
858 Views
Salamu wakuu, Simu yangu inajicharge yenyewe but in reality inanimalizia charge,tatizo litakua nini mwenye kujua pls.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarizi za leo? Jamani naomba kuulizia ni wapi kuna maduka mazuri ya vifaa vya umeme original sio mchina Dar es Salaam na pia naomba kujua labda gharama ya vifaa vya umeme kwa makadirio kwenye...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu!? nna Tv yangu ya samsung inch 24 ambayo kwa bahati mbaya nli iangusha chini, sasa imepasuka kioo! kwahyo nlikua naomba msaada wa kufaham kama inatengenezeka, na pia gharama za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimenunua TV ya Samsung Flat nimeona kwa nyuma kuna sehemu ya kuweka kadi (built in king'amuzi). Swali langu je naweza kuweka kadi za ving'amuzi vya hapa TZ kama Startimes, Azam, Zuku n.k direct...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila siku watu walikuwa wakitafuta apps lock kwa ajili ya kuficha chats zao n.k! Habari njema kwa watumiaji wa whatsapp+ sasa unaweza kuhide chat zako pia chat vonversation na mtu hasiwezs...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Huwa naona watu wanaweka hapa JF avatar(profile)\ zinazo zinazo cheza cheza hivyo kama kuna mtaalam wa hivyo vitu anipe maujuzii :msela::msela::msela::msela:
0 Reactions
3 Replies
709 Views
Back
Top Bottom