Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu nimefactory reset lumia 720 na imebakia kwene gear tokea jana usiku mpaka sasa hv iko vile vile.. Ambae ashawah kutwa na ili janga na akapata solution anisaidie aisee.. Cc: Chief-Mkwawa
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale wajuzi wa haya mambo nawezaje kununua applications zinazo uzwa Google Play
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Habar wana JF. Ninatafuta mtu aliye mtaalamu wa kutengeneza website, tafadhali kama kuna au watu unawafahamu wanaohusika na kazi hii, naomba ni Inbox. Ahsante!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Software engineering anatafutwa kuna company inatafuta mtu huyo hapo kwa maelezo zaidi nicheki 0717 022737
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Habar wakuu Nina dogo anataka kujiajiri kwa kuwa fundi sim wapi anaweza kujifunza namna ya kuflash sim na kufanya matengenezo madogo madogo ya sim. natanguliza shukran
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kuna tatizo nililo nalo ninapoingia kwenye intaneti. Nikifungua Google Chrome au Mozilla ambazo huwa nazitumia kwenye laptop baada ya muda kidogo window nyingine hufunguka zenyewe na hata...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanau mwenye tool inayofanya kazi ya kuroot 4.4.2 nahitaji support
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Hello,We are designing E-learning System The e-learning platform is a software solution to long-distance learning management and provision. Versatility and simplicity make this LMS (Learning...
0 Reactions
1 Replies
631 Views
simu yangu kila mda inakuwa inasearch GPS, kwa hiyo nitafanyaje ili GPS isiwe inasearch kwa sababu inakula sana chaji
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu kwa atakae hitaji DVD za software programs kama vile windows, drivers za kila aina, Microsoft office na program zikiwa ktk DVD nk anaweza kupata kwangu, bei ni tsh elfu kumi tu. Mawasiliano...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ukiangalia kwenye series za OS za android, lollipop ndio ya mwisho, je nini itafuata au ndio utakuwa mwisho wa android?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nmeanzisha hii mada ili members tujumuike na tushare ideas jinsi gani tunaweza kupata bure au hata walau kupunguza gharama ya vitu ambavyo ni paid na sio free MOVIES NA MIZIKI YA MAREKANI NA...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Nimeibiwa laptop pale ofisini kwetu, Je! Kuna jinsi ya kuweza kuitrack iliko?
0 Reactions
21 Replies
4K Views
nina simu yangu ya galaxy note 3 original nimenunua takribani miezi 3 sasa, ila kuanzia jana nimejaribu kuichaji imegoma kabisa kuingiza chaji hivyo imezima naomba msaada hapo.
0 Reactions
6 Replies
846 Views
Habarini wakuu wa jamvi heshima kwenu, niwapeni pole kwa shughuli za kila siku za kujitafutia chochote kiende kinywani yote ni mapenzi ya Mungu imenibidi niwasilishe hitaji hili kwenu nikiamini ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ningependa kujua Kama Kuna application ya jamiiforums kwa simu za Microsoft/Windows phones. Mwenye uelewa anisaidie namna ya kuipata
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Hello wana Jukwaa. nina iPad " designed by Apple in California Assembled in China Model A1396 Rated 5.IV 2.1A max. EMC 2416 complies with the cadanian ICES-003 Class B specifications...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za wikiend wanajamvi. Msaada, najaribu kuweka OS (windows 8) kwa pc lakini ikifikia kwenye 'Installing updates' inastack. Nimejaribu kufomat drive C: lakni ikifika eneo hilo bado...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilikuwa naptia kitabu cha coding cha language hii ya apple, kwa wale wapenda programing isomeni ni nzuri na simple
0 Reactions
3 Replies
783 Views
Back
Top Bottom