Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hivi jamani naomba kuuliza , 1. Kuna mtu ashawahi tumiwa mzigo wake kupitia hii chinapost na UKAFIKA? 2. Na ulipofika huo mzigo wake alijuaje? Sababu mara nyingi hawatoi tracking number.. 3...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wakuu... Weekend Hii Ya Pasaka Kwangu Haikwenda Sawaa Kabisa Kutokana Na Mtu Wangu Wa Karibu Mmoja Kuniibia Ipad Iliyokuwa iOS 8 Nafikiri Ndani... Nasema Wa Karibu Kwa Sababu Imeibiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nipeni mwanga hapa kwanini smartphone aina ya iphone ni ghari sana? Pia kwanini watu maarufu walio wengi hupenda kununua smartphone za iphone kuna nini cha zaidi?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Whatsapp calling Activation is working again [Server UP] >*whatsapp wameachia tena server zao za ku-activate whatsapp voice call >**Kama unahitaji whatsapp call fany yafuatayo.. 1.Update...
114 Reactions
529 Replies
49K Views
Tatzo langu hii cm haisomi 3g sielewi nifanye nn
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Anayefahamu wapi wanauza vifaa vya simu za NOKIA.Hasa screen za simu.hapa dar naomba anijuze.simu yangu ni NOKIA XL imedondoka chini na kupasua kioo chake.
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Sijaelewa bado mpaka muda huu. Mwalimu mtu ambae anafikisha na kuwezesha maarifa kwa mwanafunzi na ubora wake ni maarifa aliyonayo na jinsi na utaalamu wa kuyafikisha kwa mwanafunzi. Vipi kuhusu...
0 Reactions
3 Replies
871 Views
Naulizia acount ipi kwa sasa ni stable kwa ajili ya 36e d_tv nijulisheni na bei zake aksanteni
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natumai muwazima wa afya, wanajamvi nahitaji msaada wenu mimi natumia simu aina ya Huawei y300,nataka kui root naombeni mwenye uelewa juuya hiyo simu anisaidie namna ya ku root. napia nikiiroot...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nawezaje kufanya hiyo kitu?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadau niaje poleni na majukumu, sasa hebu tusaidiane hapa kidogo. Nina moderm ya voda vipi kuna maujanja yoyote hapa tufanye ili itumie lain zote plz kama kuna maujanja tupeane wakuu ahsanteni sana
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jamani wataalam nlikua nareset simu huawei y 530 lakini sas ikiwaka inaishia kuonyesha android tu,wanaojua msaada tafadhali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I urgently need a completely free Mac tool for Data recovery. Not the ones after scan is finished say "buy Pro version to recover!" Any links to download?
0 Reactions
1 Replies
662 Views
wadau ninaomba kuuliza ni kwanini kuna baadhi ya app hasa zile za mpira ukishainstall ikikubali unapotaka kuifungua inaandika unfortunately live sports tv has stopped na kwanini wasiitoe playstore.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
transformer primary winding ina induce vp secondary winding hali ya kuwa both zote zimeweka insulation Najiuliza hizi magnetic flux zinafikaje kwenye secondary winding na kutoa output wether step...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za kazi wana jamvi nilikuwa naomba ushauri nahitaji kununua mzigo Alibaba ila huyo seller ana option ya kulipia kwa paypal je pesa yangu itakuwa safe endapo mzigo hautofika kama wafanyavyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu niaje, long time sijapost chochote maana niko busy vibaya mno though huwa napita pita siku moja moja... Nina swala moja tu leo ambalo ningependa ushauri wenu kwa faida ya kila mtu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hey wana Jf naomba kujua jinsi ya kufungua personal website. Naiitaji sana kwa ajili ya kuweka na kutunza data zangu maana nimepoteza data zangu nyingi za muhimu need help plz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vodafone vf685 inawezekana kuiflash ni weze kutumia line zote?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watafiti kutoka Chuo cha Stanford nchini Marekani wamefanikiwa kutengeneza betri linaloweza kuchajiwa na kujaa ndani ya dakika moja. Pia teknolojia ya betri hilo ni salama zaidi kuzidi teknolojia...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom