Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba msaada wa link ya kudownload driver za printer >> photosmart All-in-one B010b>>
0 Reactions
1 Replies
856 Views
Habari zenu wana jamii naomben msaada wa kufaham namna ya kutoa password kwenye sim zilizojilock kwa kubonyeza button natakiwa nifanye vip
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa wale wafanyabiashara wenye maduka ya jumla na reja reja napenda kuwa julisha Software ya kompyuta itayo kusaidia katika biashara zako katika kufunga stock,mauzo(selling),matumizi nk. program...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Wanajamvi , naombeni mnielekeze duka gani kwa dar naweza kupata transfoma mpya zenye kiwango kuanzia 12v -0 -12v mpaka 30v -0-30v . Na ampere 3 mpaka 5 mwisho. Na bei zake kama mtu anauzoefu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataka responsive tempelate kama ya blog ya tuangaze blog. Thanks
0 Reactions
11 Replies
1K Views
wadau.wasomi kutoka chuo cha stanford univesity,california wamegundua betri mpya za simu ambazo zitajaa chaji ndani ya dakika moja tu. ================ Sasa hivi teknolojia inatuletea hii.. simu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wapendwa habari? Naomba kuelekezwa namna ya kuelekezwa namna ya kuset account yangu ya facebook ili watu wailike kwasababu nimefikisha marafiki 5000 tangu Ijumaa. Asante.
0 Reactions
21 Replies
6K Views
nnaomba kujuzwa kama kunanjia ya kusolve matizo yafuatayo kwenye simu aina ya Samsung galaxy y duos -system storage getting low, hapo unakuta no any installed application kusema kwamba inachukua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nawasilisha kwa kuwa follower wa jf kwa muda mrefu na kuuulza maswali mengi kuhusu tecnolojia Chief-Mkwawa amekua msaada mkubwa kwangu na watu wengine nilikua naomba kujua experience yako...
7 Reactions
68 Replies
6K Views
Nimetumiwa hela jamani kwa njia ya western Union nikiwa Marekani, Kwa bahati mbaya sana wakati hela inatumwa nikapata dharura ya kurudi nchini, kwa kifupi nikapishana na hela, je naweza kuitoa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Samsung's new flagship Galaxy S6 and Galaxy S6 edge feature fresh new designs, better build quality, new software, the best smartphone displays on the planet and cutting-edge new internal...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeuziwa simu iphone 4 kwa bei chee sana ila nimeambiwa ina icloud nitawezaje kuifungua ni wapi naweza pata hii huduma?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Yenye 32gb iwe kwenye hali nzuri(A1 condition)..mwenye nayo tuzungumze Bajeti yangu ni shilingi laki 6 za kitanzania
0 Reactions
2 Replies
598 Views
Wakuu nina Samsung Galaxy note 4 SM-N910C, balaa la hii simu nimekuwa nikiitumia vizuri tu ila toka juzi , Nikiweka laini ya voda hatusikilizani yaani mimi namsikia mwenzangu yeye hanisikii ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Factors to be considered in order website to be frendly to user
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Karibu social networks/forum nyingi Nina oprion option ya kufuta thread au hata account yangu. Kwann JF haina hiyo option, je imeachwa makusudi? Binafsi sioni maana ya kucontact uongozi ili...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Memory card ina kazi za video na picha za wateja, nilitumia computer ya jamaa flani kuimport mara ghafla ikadai haisomi, ina hitaji kuwa formated, nifanyeje wakuu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau naomba msaada wa kupata fl studio ili nitengeneze beats na pia kama kuna mtu anaweza kuniuzia cd yake kwa Dar.. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Intel waja na high end intel Solid State Drive "SDD" za aina mbili kiuwezo wakuhifadhi vitu moja ikiwa na 400GB na nyingine 1.2TB zikitumia PCIe ambayo ni serial computer expansion bus standard...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Wanajamvi habari za mihangaiko.. Naomba msaada kama Kuna anaeelewa juu ya hili tatizo langu. Kiufupi ni kwamba nilinunua vocha ya Kenya sh 300 kwa ajili ya kuingiza kwenye Line yangu ya airtel...
0 Reactions
7 Replies
974 Views
Back
Top Bottom