Habari wana jamvi.....
Nimekuwa interested sana na hili jukwaa kwa sababu katika jamii forums naona ndo jukwaa la pekee kuliko majukwaa yote hapa jamii forum upekee huo unatokana na umoja tulio...
WAKUU HABARINI,NINA LAPTOP YANGU AINA YA HP PAVILION G6 INA TABIA YA KUSTUCK NINAPOKUWA NAITUMIA NA INAANDIKA KWAMBA"Boot Device Not Found Install an Operating System on your Hard disk...
Habari wanafamilia wa jukwaa hili
Mada mezani inasema hivi ni App gani ya android ya video call ambayo iko vizuri haina usumbufu kulingana na mitandao yetu ya kibongo.
Karibu kwa ushauri
Cc...
Kwa wale wapenda games au watu wa graphics kadi hii hapa full mauwezo ina-support mpaka 4k....RADEON 7970 BLACK EDITION 3GB.....bei 350k maongezi yapo
0655090000
Msaada jamani, napenda sana website templates za ms publisher. But inanitatiza kupublish baada ya kuwa nimecreate pages. Naomba mweny kujua anisaidie ili nitumie ms publisher ku create na...
Habari zenu wakuu.
Mimi natumia phpmyadmin katika kutengeza database huku nikiwa natumia dreamweaver kwa kunirahisishia kazi ya kuandika codes.
Nimetengeza site locally ambayo mlengo ni...
Wana JF
Kwa hali ilivyo sasa hivi kwa mtazamo wangu tigo ndo kimbilio la wanyonge
Sikujua mwanzo ila baada ya kusikia kuhusu ofa ya Mb 100 za bure
Nikachukua chip yangu na kuiweka kwenye...
samahani ndugu zangu simu yangu inasumbua upande wa meseji huwa zinaingia bila kikomo unakuta sms ya majuzi niliyosoma na nikajibu inakuwa bado inaendelea kuingia yaan mpaka ninechoka kama kuna...
Umejaza filamu na nyimbo kibao katika diski yako, labda ni magemu pia. Tamthilia je? Inaweza ikawa moja ya vitu hivi au ni mambo mengine kibao yamejaa kwenye kompyuta yako kiasi ya kwamba inakuwa...
Only CDMA Engineer can do it. Wewe uwezi ata tukikupatia software.
When youy do programing any CDMA terminal the switch at network provider should. Be programed to and feeded with terminal...
Habari wakuu!?
Ninahitaji kudownload album hasa za Adele za 19 and 21, nimejaribu kwenda google ila sijapata suluhisho.
Nitafurahi kwa msaada. CHIEF MKWAWA
jamani nimedownload fifa 15 ultimate team lakini sina product keys zake kwahiyo ambaye anazo nahitaji msaada wake please jamani au mtu mwenye link ambayo ntadowload nakuifanyia installation...
Habarini za saa hii?Shida yangu ni hivi ndugu zangu;Nina laptop ya Hp compaq presario CQ 43 ina miaka miwili na nusu tangu ni inunue, na OS yake ni windows 8.1 sasa leo nilikuwa nawasha ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.