Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari wadau. simu yangu ghafla tu imekata network. pale kwenye network bar imeweka alama ya x. nimejaribu kusearch network inaniambia. error in searching network .. msaada tafadhali
1 Reactions
8 Replies
902 Views
Nina ipad imegoma kuleta setting za internet hivyo nimeshindwa kutumia internet kwenye hii ipad yangu. Naomba mnisaidie wadau wa JF
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni maujanja wadau
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu wa hili jukwaa,nahitaji Front Glass ya Sony Xperia M, NAWASILISHA.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kujua jinsi ya kubadili **USERNAME ** langu JF
0 Reactions
1 Replies
842 Views
wadau msaada tafadhali mouse ya laptop yangu. lenovo haifanyi kazi. wala cusor hai display. msaada tafadhali
0 Reactions
4 Replies
932 Views
Wataalamu wa hizi aina mbili za simu naomba kuuliza ipi ni bora!
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za leo? Kama kichwa cha habari kinavyosema,nahitaji mtaalamu mwenye kujua namna ya ku create Google groups. Kwa maelezo zaidi ni PM au piga/text 0787140432. Asanteni wote.
0 Reactions
0 Replies
803 Views
jamani kwa wale wanao ishi iringa mjini wapi naweza nikapata wireless joysticks (game pads) for PC
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Wakuu habar msaada, window inaniletea hii messege hai recognise usb device, nimetumia nyia zote ninazozifahamu. 1. Nilikuwa nikibadili usb port zote nne hazikubali 2. Nibadili window 3...
0 Reactions
3 Replies
635 Views
Wanajamvi simu tajwa hapo juu nikiiwasha inashia kwenye HUAWEI logo tuu haiendelei kwingine......Please naomba msaada wenu natanguliza shukrani
1 Reactions
3 Replies
938 Views
Mwenye display naitaji mwenyenayo hala on me plz 0757663336
0 Reactions
1 Replies
657 Views
Je,unaijua software ambayo unaweza kupata applications ambazo zinauzwa ktk google play na ukapata bure?? Ingia google search andika **aptoide apk** alafu ipakue baada ya hapo utafurahi...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Tumia software ya VOXOX ili kuifanya number unayoitumia ktk whatsapp ihonekane ya kimataifa mfano marekani,n.k
0 Reactions
1 Replies
876 Views
Wanajamvi naomba msaada wapi ntapata DVD yenye kuplay external HDD
0 Reactions
3 Replies
691 Views
Android OS ni moja kati operating system iliyozidi kusambaa duniani kote huku ikiwa na mpinzani mkubwa sana ambae ni iOS mara baada ya OS nyingine kutofanya vizuri. Taarifa zilizotelewa na...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
wakuu poleni na majukum, nina laptop yangu aina ya asus, inatumia window 8 nipo najaribu kubadili window lakini kila nikiwasha computer ili nibinyeze f12 inagoma inawaka moja kwa moja, na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni vizuri wanangu tukikutana paltalk ili kupata maujuzi mengine kutoka kwa ma IT experts duniani. Download paltalk messanger, install, nenda computer and technology. Tukutane huko wapo wataalam...
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Naomba kufaham vipi naweza kupata mafunzo ya computer humu jf
0 Reactions
12 Replies
6K Views
wakuu naomba kuuliza hivi zile jack(zile pin zinazoingia kwenye laptop au simu) vya headphones kubwa kama sony beats etc huwa zinatengenezeka kweli?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom