Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
kuna simu ya Itel ya Android ina tatizo la microphone. ukiongea na mtu kwenye simu humsikii mpaka uweke loudspeaker,simu ina kama mwezi tangu inunuliwe na haijawahi kuangushwa wala kupata...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu natumai mu wazima wa afya kabisa. Naomba kueleweshwa namna ya kukoti post zaidi ya moja na kumention majina kwa kutumia kompyuta. Kwa yeyote anayejua ashee na mimi maujuzi hayo.
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Whatsapp, the world's most popular smartphone instant messaging platform, has started rolling out voice services as part of its application (Android users only for now), striking fear into the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NSA hiding Equation spy program on hard drives "The US National Security Agency has figured out how to hide spying software deep within hard drives made by Western Digital, Seagate, Toshiba and...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hizi ni baadhi ya Picha nilizochora. Tazama na kisha toa maoni yako. Ili kuikuza na kuiendeleza hii sanaa ya uchoraji. Contacts: •Whatsapp- +255756851815 •Instagram- Mchoraji_Cyper255 Link...
14 Reactions
111 Replies
25K Views
Habari zenu wakuu. Natumai mu-wazima kabisa nahitaji msaada wa ku-download tubemate kwenye simu yangu. Nimefungua site yao naona imekuwa tofauti na ilivyokuwa mwanzo kama kuna mwenye link...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Waungwana ninatumia Android device ipo slow sana hasa kwenye upande wa internet, kwa mara ya kwanza nikai-restore lakini tatizo liko palepale. Nikaamua kuifanyia Hard reset lkn bado tatzo nalo...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Waungwana naomba kujua nitawezaje kutumia simu yangu Tecno kama modem kwenye pc window xp 2009? Hapo awali nilikuwa natumia window 7 na simu ilikuwa ndiyo modem yangu, sasa juzi tar 24 nimepiga...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Unaweza kutumia baadhi ya applications ktk sim yako(blackberry) bila ya kulipia huduma ile ya bb.....apps izo ni kama whatsapp,jamiiforum,viber,operamini........bundle utakalotumia ni lile la...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
hey wadau ni kweli kuwa tecno h6 inauzwa bila external memory kwa sababu Jana rafiki angu lakini memory hajapatiwa muuzaji anasema kuwa haijatolewa na memory card
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba anaejua anieleweshe kidogo.. kama uwezekano wa kulipia dstv kwa siku.. mfano nifungue premium package lakini kwa siku moja then hela niliyoweka ikiisha kinakata.. Msaada wenu plz
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Salute wakuu. Kwanza nianze kwa kukiri kuwa kwa ushamba wangu niliuziwa clone ya S5 nikidhani ni orijino! Baada ya kugundua niliumia kwani nilipigwa pesa nyingi sana. Nshakubaliana na matokeo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
design a standalone computer app to keep track of audio visual items taken from it help desk. the system should be able to identify who take what and when taken and returned. the system should...
0 Reactions
1 Replies
651 Views
Wakata najiunga na jf mwanzoni mwa 2013 nilikuwa nimejisajili kwa jina zawad, nilipost vitu vingi tu na nilshauriwa kwa kiasi kikubwa pale nilipokwama kama miezi 10 hivi, ikafika kipindi...
0 Reactions
4 Replies
976 Views
Kama nilivoeleza hapo kwenye title kama wewe ni mtumiaji wa computer na unapenda kujifunza au kujiendeleza zaidi katika proffesional nilizotaja, bofya link ifuatayo afu chagua folder la taaluma...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Jamaa kaja shop hapa kununua chaja, kanipa simu yake nimtestie kama chaja inafanya kazi, mara nikawa najiona kwenye screen ya simu nikajua labda simu iko kwenye camera! Kumbe ile simu lock yake ni...
1 Reactions
42 Replies
10K Views
Kiufupi ni kwamba nina gari ambayo navigation system ilitolewa battery wakati iliposafirishwa, sasa ukiiwasha inakwambia 'Insert Navigation Map dics' nimeingia mtandaoni nikakutana na solution ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni kuelekezwa jamani sijui hili tatizo ni kwangu tu au kwa wote tokea jana mimi kila nikijiunga kifurushi cha 200MB zinaishia haraka isivyo kawaida! Hapo natumia simu na line ni ya tigo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wapenzi wa masuala ya teknologia bila shaka mtaipenda animation hii inayoelezea jinsi 'Lithographic Printing' inavyofanya kazi. https://m.youtube.com/watch?v=pNZb7CXUjs0
1 Reactions
3 Replies
1K Views
mwenye laptop brandy new au used kiasi nahitaj npo iringa...0653118119
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Back
Top Bottom