Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mara naamka si nikakuta WhatsApp wamenisogezea huduma ya kupiga simu, aisee raha kweli kama hujaipata basi update hiyo App usahau Vifurushi vya mitandao yote.
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Wataalam naomba kupata ukweli juu ya gharama mpya za internet Vodacom. Je, kuna mtandao nafuu zaidi ya Voda?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
naomba msaada jinsi ya kutambua tena password ya ac yangu ya Gmail natanguliza shukran.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
ni simu ya zte blade l2 kama yupo anaeijua aniambie uwezo wake na bei wakuu
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Nina desktop yangu HP inatumia window vista mwanzoni ilikua inapga kazi fresh tu,ila saiv nikiwasha inaishndwa kuwaka kwa maana ya kwamba inashindwa kustart window,tatizo inaweza kuwa nin na...
0 Reactions
2 Replies
769 Views
Note 2 yangu, haifungui code mbalimbali za mitandao ya kijamii. Kwa mfano, ninatumia laini ya tiGO lakini nikitaka kununua vifurushi(nikibofya *148*00#) haifungui. Inakubali code hizi zifuatazo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa sh 150,000 - 250,000 naweza pata simu aina gan nzuri, iwe ya tachi, isurf JF vzr, na chaji itunze. Ahsanten wadau.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Msaada kwa anayefahamu jinsi ya kuroot simu hii,maana nimejaribu njia zote imenigomea.
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Natumia samsung note 3 mini, asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau? Naomba msaada wa mada tajwa hapo juu. Asante
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu Wakati ule wa analog ilikuwa kama huna hela ya kununua antena,waweza tumia hata tubelight mbovu,rim ya baiskeli,sinia la alumminium na ukaweza kutizama chanels mbalimbali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu mwenye ufahamu ktk hili tafadhali msaada wako unahitajika nimejaribu mara kadhaa kuchakachua Poweramp music player but inazingua mwenye key unlocker zake tafadhali, hii trial imenichosha...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ninatumia king'amuzi ca Star times but juzi nimechukua na cha Azam pia. Lakini sioni channel yoyote, zaidi inaandika Smart Card never paired. How to fix this??
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habaria za mda huu wakuu...linaweza likawa la ajabu la kushangaza ila nilikuwa napenda kufaham ivi unaweza kudownloada apps kwnye computer den kuitransfer kwnye sim na kuitumia mfano unataka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
salaam wakuu, hii app sijui ni kwanini imegoma kurun kabisa kwenye simu yangu, nikajaribu kufanya installation kwenye simu ya rafiki yangu still ikakataa. Kwa sasa inabidi nitumie native browser...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
FB wanafanyia majaribio app ambayo itakuwa inaonyesha ni nani anakupigia hata kama namba hauijui na pia itakuwa inablock namba ambazo zimezuiwa kwa wingi na watu wengine. FB pia inamiliki...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada kidogo hapa, nmechukua huawei ascend y530 mpya dukan lkn nkitumia line ya airtel inafanya kazi vizuri internet na vingine lkn inakataa watsapp haifungui. Msaada pliz
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunatengeneza kila aina ya computer kama imeharibika kitu yeyote ile tunakupa ushaur na kutengeneza kwa bei cheee sana kama ushakata tamaaa na computer yako basi tutafute whatsapp kwa namba...
0 Reactions
3 Replies
877 Views
hii saa ni maarufu sana na imekuwa sokoni takribani miaka 20 . na imekuwa ikisadikika kutumiwa na magaidi katika kutega mabomu. pia inasadikika kuwa wanaovaa saa hii huenda ni magaidi. check...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu ...nina simu aina ya Nokia E72 ambayo nimeipata siku hizihizi, cha ajabu imegoma kabisa ku-connect internet, naomba msaada wenu wadau.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom