Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wana jukwaa, Mimi ni mtumiaji mpya wa JF. Kuna swala ambalo linanishinda nalo ni kufanya mtajo (mention) ya mtu ambaye ametoa maoni juu ya mada inayojadiliwa...Nikitaka kumjibu na pia...
0 Reactions
3 Replies
845 Views
Sound Sound card ya music studio new ya 350000 napata ya haina gani mwenye kujua anijuze wadau?
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Salaaam Wakuu Nimekuja kwenu nina ttz katika website ya CRDB, nilijisajili na huduma ya Internet Banking nikatumiwa code VBV secure code lakin kila mara nikijaribu kingiza naambiwa system is not...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kuna Android tab 7inch mpya kabisa kwa bei poa ya 200,000 tuu Mpya kabisa na upya wake kama interested call here 0786371108
0 Reactions
7 Replies
943 Views
Kajiado Central parliamentary aspirant Memusi ole Kanchori with his supporters on January 25, 2015 near the Kajiado KCB grounds. The Kajiado Central by-election, KCSE examination results and the...
0 Reactions
0 Replies
639 Views
Heshima kwenu wakuu, Naomba kwa anaefahamu kiundani zaidi anieleweshe tofauti zilizopo kati ya aina za Tvs zilizotajwa hapo juu katika nyanja za 1. Ubora 2. Uimara wake 3. Bei 4. N.K
0 Reactions
23 Replies
7K Views
wanajamii natanguliza salaam zangu Nilikuwa na shida mmoja. One of my boss wants an application on playstore and it costs around 9 dollars. He doesnt want cracked version he wants to buy it. So...
0 Reactions
1 Replies
586 Views
jamani nashindwa kufungua internet yaani kuiweka simu tayari kwa data zianze kutumika mambo ya wi-fi naona yananizingua siyasomi!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima Zenu Wakuu.Mimi Nina DVD nyingi za movies mbalimbali nataka kuziforma lakini cha kusikitisha na cha ajabu sana kila nikijaribu kuformat naambiwa yo cant format this disk becouse it is...
0 Reactions
2 Replies
989 Views
Wakuu nahic kichwa cha uzi kinajitosheleza....kwa mwenye ujuzi apite gaps..
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Wadau naomba msaada s2 yangu haishiki network nin shida??
0 Reactions
13 Replies
1K Views
hivi ndivyo internet inavyopatikana katika ndege iliyo angani. wlanbook.com/how-does-airplane-wifi-work/
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Kuna application gani unaweza uka download instagram videos on google store?
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Hallo jf members… poleni na majukum… mimi binafsi ni developer mdogo ambaye napenda sana kujifunza... mara nyingi ugumu unakuja pale unapokuwa peke yako na gugo tuu… nilishatengeneza native apps...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Nimefungua hili jukwaa kwa kua nahitaji kuzitambua startups za bongo zinazojihusisha na technology, wapo kweli waliojiungaunga kusema waanzishe startup flani Na kuikuza polepole? Nimeona hawa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejaribu kui unlock modem ya tigo ya 'Huawei E303c' kwa kutumia software iliyowekwa ya hapa ukumbini katika post iitwayo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu amani iwe nanyi, wakuu naombeni msaada wenu ninapo ingia whatsapp napata ujumbe huu "YUOR PHONE NUMBER 255******* IS NO LONGER ALLOWED TO USE OUR SERVICE. ule mwaka mmoja wa kutumia bure...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf. Ninaomba msaada wapi naweza kupata fundi mzuri wa kurekebisha laptop yangu. Hii laptop nimeletewa kutoka nje ni lenovo B570e nimeitumia kama week mbili hivi ila hivi sasa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wana jf hongereni kwa majukumu. Nina tecno p5 inawiki nzima ukiwa unapiga simu Au unazungumza ghafla inakata mawasiliano na kuandika RADIO OFF. na network bars zote zinakuwa off kisha inaanza...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom