Habar zenu wna Jamii..
Naomba nisaidiwe kuyatambua makampuni mazuri (in terms of proffesionalism) ya networking
yanayofunga(installation,configuration and support ) hapa bongo...
polen na majukumu wadau wa jukwaa,kwanza naomba samahan sana wanajamamvi hili.naomba msaada wenu kwa yeyote anaefahamu.jinsi yakuondoa write protect mode kwenye flashi samahan sana naomba kwa...
Heri ya Pasaka Wakuu.
Nimeinstall Windows 7 Ultimate kwenye laptop lakini Fn+F2/F3 hazifanyi kazi.
Kipindi nainunua ilikuwa na Win 7 na hizo keys zilikuwa zinafanya kazi vizuri.
Naombeni msaada...
Habari zenu wadau wa jf hasa jukwaa hili. Jaman nina decoder yangu ya dstv, imekufa baada ya radi kubwa kupiga, imekataa kufanya kazi upande wa HDMI, hvo nkitaka pata picha mpaka nitumie AV, na...
Habarin wana jukwaa?
Naomben msaada ambae anazifaham vizuri Samsung hasa note 2.
Nina simu aina ya Samsung galaxy note 2 inasumbua katika upande wa network, imekuwa inakata network kwa mda, na...
Wadau nina mwezi wa tatu sasa napata channel ya TBC1 lakini haina sauti hata kidogo, nimejaribu lakini nimeshindwa cha kufanya mpaka sasa sipati huduma yyte ya TBC1 isipokuwa TBC2 najipanga...
Habar wana jukwaa naomba kufahamishwa ni site gani ninayoweza kupata free tutorial video za kujifunza computer from begining nina shauku ya kufahamu teknolojia.natanguliza shukran.
Element 3D ndio plugin pekee duniani inayokuwezesha kuanimate, composite na kudesign real 3D stuff kv: 3D city/environment, 3D models na kufanya Live scene 3D integration ndani ya Adobe After...
wadau, smart phone yangu ina tatizo moja, kila nitakapo kudownloadd app au ku update apps zilizopo inaniandikia kuna insufficient space, ila naona space bado ipo, nimejaribu hata kufuta baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.