Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau natumia samsung galaxy s3 ambayo internal memory ni 16gb ila sasa hv nikiangalia naona internal ni 11.23gb, hapa nimeshindwa kuelewa hizo zingine ziko wapi then space imekuwa ikiisha mara...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nawasilisha msaada wakuu Wanajf hivi hakuna uwezekano wa application za android kurun ndan app moja kama ilivyo kwa android apps zinavyofanya kazi kwenye kompyuta kwa kutumia app Moja...
0 Reactions
3 Replies
929 Views
Kuna taa rangi ya bluu inawaka kweny batan imeandikwa ''scroll'' kwenye kisanduk ''num lk'' imesababisha batan zenye herufi zaid y 1 kuandika herufi za juu tu, naomba msaada kutatua tattizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napata ugumu kuelewa hii concept nini maana ya 50hertz yani 50 cycles per second yani ni mzunguko wa turbine mara 50 per second au ni nini?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kuna hii kitu wanaita International Cyber trade,je inahusu nini hasa?Na je mtu anayesomea anakuja kuofanya kazi gani?Hapa kwetu bongo ipo Applicable ?
0 Reactions
0 Replies
913 Views
heshma yenu wakuu,naombeni kujuzwa kuhusu blogs,jinsi ya kumiliki nakuoparete na malipo yake unapataje na kwamda gan maana napenda sana kumliki blog ya kunipatia chotote coz naiman ntaweza kuvuta...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nilikuwa nahitaji hiyo tool kwaajili ya kazi mbali mbali za ku unlock phones sasa kwa hapa Tanzania naweza ipataje hii Box? Noamba kujulishwa bei yake (Tz sh) pia na mahali naweza kuinunua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefanya quotations kibao za bei ya kioo cha HTC one x, nimepata kizunguzungu kwa bei ninazotajiwa. Kuna wanaonitajia kuwa complete 130-150k na wengine wanasema 50-80k, sasa nashindwa kuelewa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naombeni mtu mwenye utaalamu wa coding kwenye VBA anisaidie jambo,nimejaribu ku attach file hapa nimeshindwa,ni word document na excel-macros enabled document.Kwa atakaekuwa tayari naweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wadau,mimi ni mgeni ktk matumizi haya ya simu za android,ni juzi tu nimenunua kaSamsung galaxy S5..naomba kujuzwa namna ya kuweka namba ktk black list...natanguliza shukran.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
MFUMO HUU WA UMEME UTAKUONGEZEA FAIDA KATIKA BIASHARA YAKO Lengo la mfanya biashara yeyote ni kupata faida,lakini inapo tokea kuna sababu zozote zinakwamisha kufikiwa kwa lengo hilo...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
it is good to see how the world of science and technology make easy for us to enjoy our life. there are plenty of ways of making money online by doing simple tasks. lucky for the advancement of...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za humu wakuu kiukweli huwa naliona hili neno na kuna mda fulani nmeshawahi kusikia hadi watu wakisifia hili yan wakisema hiv....(simu za siku hizi zina wi-fi siyo masimu ya zaman hayan...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Nilikuwa natumia adobe illustrator CS6 ila muda wake wa trial umeisha na nimejaribu kutumia crack files bila mafanikio yoyote je mnaweza kunisaidia niweze kuitumia application hiyo.
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Habari wanaJF, TV yangu imepasuka Display ila inawaka vizuri tu, tatizo ni hiyo display. Huku kwetu Kahama nimekosa, hata Mwanza hakuna. Ni Sony inch 32 HDMI, Model mpaka niangalie kwani...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
microsoft wamezindua lumia 430 kwa dola za kimarekani 70 ambazo ni kama 130,000 za kitanzania kabla ya kodi na ruzuku. specs za simu ni -kioo cha inch 4 wvga -ram 1gb -processor...
3 Reactions
27 Replies
8K Views
Wakuu ogwhatsapp kwa sasa haifanyi kazi, na whatsapp+ nayo nilisikia iko hivyo japo sijawahi kuitumia. Sasa wale wenye ujuzi wa kuwezesha kutumia whatsapp mbili kwa simu moja walete ujuzi ili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nimefurahi kuweza kutazama live channel hizo mbili za CHANNEL TEN na TBC kupitia simu tv app lakini nashangaa vituo kama ITV na Star Tv hupata fursa ya mwisho katika haya mambo.kumbuka wakati wa...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Waungwana naomba kufaham au kujuzwa kuusu hili neno MediaTek kwa kiundan zaidi na matumiz yake ... NB: Na pia nitashukuru sana ukiamia pia kwa upande wa sim je zinatumika kwa kazi ipi ni hayo...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
habari wakuu,natafuta enclosure ya desktop 3.5 IDE drive ili niweze kuitumia hard disk kama external storage.Nitafurahi sana kama nitaipata kwa kuelekezwa mahali zinapouzwa ama kwa kuuziwa moja...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Back
Top Bottom