Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mitandao salama Ni vyema kuwa makini zaidi wakati wowote unapoenda mtandaoni kwa kutumia mtandao ambao hauujui au hauuamini- kama vile mikahawa ya mtandao. Mtoaji huduma anaweza kuchungua...
2 Reactions
22 Replies
8K Views
Naomba msaada ninadownload vipi playstore katika simu yangu hii ya p5 tekno? kuna mtoto wa kaka yangu kachezea na kuipoteza sijui aliunstall?? msaada please.
0 Reactions
4 Replies
11K Views
#13 Samsung Galaxy Note 3 AP Samsung popularized the "phablet" category with the Galaxy Note more than two years ago. Now the phone is in its third generation with the Galaxy Note 3. The Galaxy...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Naombeni kujuzwa,ni Media Play gani ambayo inaweza kucheza nyimbo one after another in a smarthphone....? Here i mean,Mathalani nacheza video moja,then nataka ikiisha hiyo moja ziendelee na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu natumaini wote ni wazima, hapa nilipo nina mwezi tangu ninunue motorola moto g (2nd generation), simu imekuwa ikinipa notification ya kwamba ni update system yangu iwe lollipop, kwa sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
msaada nikipigiwa simu mpigaji anaambia simu " busy" kuwa inatumika wakati haitumiki,nikitaka ku "factory data reset"natakiwa kuingiza PIN ambayo siikumbuki,msaada wako unahitajika.Asante.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu sana jamvi samahani kwa usumbufu utakaojitokeza, napendwa kujuzwa je kwa MTU atumiaye smartphone anaweza kusurf net kupitia bandle la net ambalo look kwenye smartphone nyingine ? Kama ni...
0 Reactions
8 Replies
908 Views
Watanzania wenzangu na watumiaji wa JF kwa ujumla nawasalimu katika jina la Amani. Mimi ni mtanzania mwenye kipato cha kawaida (chini) sasa nimefikia uamuzi wa kununu usafiri wangu binafsi ili...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Now that Facebook is introducing third party apps support in messenger, what's your take on this. more http://reviewstabloid.com/facebook-messengerplatform-to-support-third-party-apps/
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Hivi ni nani anafaidka na huduma ya google adsense?? na mimi ndo nimeanza kuwa nayo toka week iliyopta kutokana na kunikubalia na nimefksha dolar zaidi ya kumi na wameniambia leo watanitumia pin...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wapendwa nina shida siwezi kupokea email. Yaani mtu akinitumia email hata nikijitumia haziingii ila email naimiliki kila kitu password natuma email. Ni email ya yahoo.com nina wiki sasa haziingii...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Wakuu naombeni msaada jinsi ya kuroot hii simu maana nimesearch topic za nyuma sijaona kuhusu kuroot s4 inayorun android 4.4.2 Sababu za kutaka kuiroot ni kwamba ina built in application nyingi...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Wadau habari! ninaomba mnisaidie kwa yeyote aliyewahi kutumia hii app ya internet banking ya crdb inapatikana playstore. Kwangu inakataa ku log in na registration ya hii kitu nilishafanya nina...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau application gani ni nzuri kwa kuangalia ligi kama uefa n.k katika simu,ninatumia huawei y530
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu naomba kuuliza nataka kupiga chini window ya pc yangu ila sina program za kuweka baada ya kupiga chini hasa hasa free antivirus naweza zipata site ipi ili nipate set up zake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"jinsi ya kupata na kudownload application ambazo zinalipiwa kwenye Google play bure na zenye latest version. HATUA YA KWANZA: -download application inaitwa APTOIDE(ni apps ya bure).. ili...
8 Reactions
23 Replies
13K Views
Msaada tafadhali.. Nimenunua cm sony xperia juz kat tatzo inazngua haicopy wala kupaste msgs. Je! ni settings au app gani inaweza kusolve hili tatzo? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
739 Views
Tunatafuta mtu mwenye skills kwa vitendo wa kufix/setup ubuntu linux 14.04 LTS servers kwa ajili ya data center . Contract ni ya week mbili.. ikiwezekana kuanzia next week. Location ni Unguja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natanguliza shukrani, nina simu yangu sumsung galaxy 18730, juzi nili badilisha font style, bwana zilikuja herufi hizo, nikajaribu kuirudisha kwenye default font yake,inaendelea kuonyesha ile ile...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasalim. Kwa wanaotumia android operating system kuna application ya jamii forum. Kwenye google play search jamiiforums zitakuja mbili, mimi nimeinstall ya anodexter. Very cool app.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom