Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wanabodi. Jukwaa hili limekuwa na msaada sana kwa mambo mbalimbali. Kuna picha nimefuta (delete) kwa bahati mbaya kwenye tablet yangu. Je Kuna uwezekano wa kuipata tena kama inavyokuwa...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Msaada wadau, nipo chuo, mbali na Dar es salaam, naomba kwa anayejua bei ya huawei y550 kwa hapo Dar, anijuze wadau!
0 Reactions
5 Replies
4K Views
kwa anayejua jinsi ya kuplay zile mp4 videos za youtube kwenye haya ma dvd ya kichina
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Habari za majukumu wakuu.Ninatumia LG G2 nikitaka kudownload games au application kubwa inaniletea huo ujumbe,tatizo ni nini?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau napenda kutangulza shukran zangu za dhat kwenu! Nimekua nikipata msaada zaid kupitia nyinyi!!! Leo nimekuja na mada nyingne. Nina sim angu aina ya asha 302 ilikua ikifany kaz vzur ila kuna...
0 Reactions
4 Replies
951 Views
jamani habari za muda huu ndugu zangu.....Nina tatizo nina simu yangu ya tecno m 3 imekataa kuwaka tangu jana inawaka lakini inaishia kutoa jina LA tecno tu.....pasipo kuwaka kabisa tafadhari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hii nimeipata tech crunk.. Microsoft Is Developing Software That Converts Android Phones To Windows 10 | TechCrunch sijui kama microsoft watafanikisha lengo la kuwavuta android users wengi....
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Waungwana naombeni msaada wa ku unlock modem ya airtel (huawei) E173 IMEI 868860000738516
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Habaru zenu. Kwa anaefaham application inayozuia application zingine zisirun at background ili kuzuia data zisipotee au kutumia application aina moja tu bila ya kuingiliana na nyingine. Mfano km...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za hapa jamaa, Natumai tupo poa kwa uwezo WA mungu,ama baada ya salam napenda kufikisha ombi langu kwenu. Nina computer ambayo ndio kitendea kazi changu imenigomea kabisa Ku-install...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Msaada please kila nikitaka Ku comment instagram inakataa sijajua shida hasa ni nini?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habar wadau, nmenunua flash ya kingstone 16Gb baada ya kuitumia kma wiki 2 sasa naona siielewi! nikiiweka kwenye laptop inaonesha inavitu vilivyokula kama 7Gb ila nikiifungua inaandka empty...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
Guys nimejaribu kila kona but nimeshindwa ku update hii simu na the biggest problem ni kupata update version ya HUAWEI ASCEND Y300 yenye build number Y300-0100V100R001C00B184 naamini humu kuna...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kati ya brela-tz.org. na. Brela.go.tz ?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wataalamu Naomba msaada KWA WANAOFAHAMU chuo kizuri ZAIDI katika kufundisha kozi za networking kwa vitendo zaidi as nshamaliza kusoma theories now nataka kujua kwa uhalisia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza ni kwanini inashauriwa kuvaa miwani maalumu wakati unapoangalia kupatwa kwa jua (Solar Ecclipse) kama inavyoendelea kwa wenzetu huko UK. Nimejiuliza nimekosa jibu japokuw...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Jaman nna tatizo kwenye simu yangu aina ya Samsung s3 haitaki kukonect na Internet nimejaribu kureset lkn bado naombeni msaada
0 Reactions
1 Replies
1K Views
When you stay in an hotel, how do you know there is no room pinhole camera? When you travel or take a business trip, and stay in a hotel or a guest house or room you could unknowingly be...
13 Reactions
22 Replies
5K Views
Siku nyingi sana nimekua nikijiuliza swali hili lakini wala huwa sipati jibu, leo nikasema hapana kwanini niumize kichwa wakati wataalamu wapo! Nimekua nikangalia channel ya National...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Wana jf naomba mwenye kuweza kusaidia kupatikana kwa Data Envolopment Analysis software (DEA) nitashukuru sana, maana inahitajika very urgent kwenye efficiency analysis. Hata kama ya free au ya...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Back
Top Bottom