Wataalam, nimebahatika kupata nilesat, 201, lakini nilesat tajwa hapo juu haziingii hata niki blind scan, nifanyeje, au ku yangu c nzuri? natumia offset dish ya 130cm x 120cm,ku ya ELSAT ya 0.3db...
Hello!
Najaribu kununua music system online nimecheki Ebay na Amazon but most of them haziwi shipped to DSM je kuna njia naweza fanya ziwe shipped DSM?
Msaada please.
Naomba niwarudishe nyuma kidogo.
Nokia especially Department ya mobile/smartphones imestop kutengeneza smartphones mpya. wengi tumezimiss. hizi cm zimetoka mbali sana toka enzi za n70 na n90...
Nimeona watu wengi wakilipia justseed.it,zbigz,bybtex n.k kupata premium accounts kwa ajili ya ku-seed torrent ili ziwe direct downloads.Infact bei nilizozikubali katika hao seeding providers ni...
Habari ndugu wa jukwaa hili.
Naomba msaada wa software inayoweza kufungua ms-word document iliyokuwa imefungwa kwa password lakini bahati mbaya password imesahaulika. Nimejaribu kutafuta kwenye...
Kila nikijaribu inasoma mwisho inasema hakuna software y ku-support Samsung USB Driver for windows 8
Android File Transfer for mac.
Microsoft ? Official Home Page...
Wakuu kam una networklock kweny simu yako ya samsung S series..yaani s1 mpaka s6 basi sasa unaweza toa sim lock bure ndani ya sec 30 tu.
kuna apps iko playstore inaitwa Galaxy s unlock ni ya...
Nina shida na PC yangu,imeanza kuupdate window sasa ni saa ya kumi inaisha na iko 183 ya 194...ni tatizo,nisubiri au nifanyaje,maana naanza ingiwa na mashaka
Habari wanna jamii , Nina Samsung note 3 lakini inanipa Tabu ku post pic. Baada ha ku attach Niki click submit hua haitaki. Naomba Msaada wenu kunitoa ushamba.
Habari wakuu mimi ni Blogger so kutafuta traffiv inanilazimu kushare post zangu za blog kweny ma grou fb yani nmefungua account nying zote zinakuwa blocked....
so wakuu amabaye anaweza nisaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.