Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimejaribu kujaza detail zang kwenye form ya paypal lakn sijafanikiwa kufungua akaunti, vitu vinavyo vinanifelisha ni Address line1.. Adress line 2... Postal code... Afu pia kuna sehem...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
ishawahi kukutokea umeweka flash au external hard disk kwenye kompyuta na pale pale mafaili na mafolda yote yakageuka shortcut au yakapotea kabisa, kuna njia rahisi (kwa watumiaji wa windows 7...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
kuna video moja nimeishoot sasa nataka kumtumia mtu ila inasema ina MBs nyingi sana inahitaji kubadirishwa ili iwe na ukubwa mdogo⇨⇨msaada tafadhari
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu habari za saa hizio..kiukweli kuna katatizo hapa nashindwa hata kuelewa nifanye nni ndio mna nimeona bra nilete humu kidgo mnisaidie hili tatzo... Ni kwmba nimepost picha instagram hvy na...
0 Reactions
7 Replies
818 Views
Napenda kujua kama kuna anayejua ni Content Managemet System gani jamii forums wanatumia. Where did they download the code to setup the all discussion forums. I am sure sidhani kama waliIdevelop...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni volksiwagen golf ya mwaka 2002, imetembea kwa kilometa 95000, lady driven in Dar-es-salaam. Dada anaeiuza kaweka wazi sababu ya kuiuza ni kwasababu iliungua Clutch na gearbox iliwekewa wrong...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Jinsi ya kuzistore App Kwenye sdcard Kwa simu ya V3+ X-BO Nimejaribu nimechemka tafadhari naomba msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naombeni option ya ku unlock cursor ya laptop ya Samsung. Jana wakati najaribu ku boot nahic kuna key nilibonyeza, sasa naona haitembei wala kufanya kaz yoyote ghafla tuu. Mwenye kujua jinsi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Sababu ya tangazo hili. Kwa watumiaji wa browser ya firefox mnaweza kuwa mmeliona tangazo hilo hapo juu mlipotembelea mtandao wa Google hivi karibuni. Tangazo hili ambalo halitokei...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tanzania wanafunzi wengi IT(+programmers) lakini hamna products .. Mbona amna websites. Amna softwares.. Hamna competition... People wana copy templates tu Vipi tena...!?
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Wa kuu Napenda kuwasilisha ombi la kujuzwa nini kifanyike ili niweze kuondoa ACTIVATOR WIZARD FAILED katika PC katika window 10
0 Reactions
0 Replies
456 Views
Habari njema kwa wabongo, kuinstall Windows 10 ambayo inatarajaiwa kutoka katikati ya mwaka huu itakuwa ni bure bila kujali kama unatumia Windows genuine au ya kupirate/wizi! In what may turn out...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi kunachama cha ma-IT Tanzania ambacho kimesajiliwa na serikal? Kama kipo kinaitwaje? Kujisajili inakuaje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Computer yangu tajwa hapo juuu inakwama mara kwa mara hasa nikiwa kwenye net.Kila baada ya muda ina display "firefox not responding". Nime defrgment na ku delete tempo files lakini bado. Kwenye...
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Habarini wana JF, nimetengeza slides za presentation, sasa nataka nikiwa nadisplay sentensi zishuke moja moja na sio slide yote, msaada wenu tafadhali
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Habari za majukumu wanaJF kuna simu yangu tajwa hapo juu nimesahau pin code za kui unlock naomba wataalam wa hizi mambo mnisaidie, maana sizikumbuki kabisa hizo pin code ni simu ya tecno T340...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Kwanza kabisa niwaombe radhi kwa usumbufu mwingi wa mimi kurudirudi jukwaani kwa swala mmoja zaidi ya mara moja. Nahitaji msaada juu ya namna ya ku-root. Simu yangu model yake ni Huawei Y300...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za Leo wakuu ninatafuta driver ya mediatek usb Vcom kwa ajili ya huawei y330-u11 nimejaribu kuidownload kupitia drivermax ikagoma kwakuwa drivermax wanauza.kama kuna yeyote mwenye drivers...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam wana Jamvi! Deleted files au folders katika hard drive, nadhani upelekwa katika recycle bin (trash can). Napenda kujua: Baada ya matumizi ya PC kwa muda mrefu, je system ya computer au...
2 Reactions
79 Replies
7K Views
Habari ndugu wanajamii wenzangu, Mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa la science niko hapa nikiomba msaada wa kupata application ambayo nitaidownload nitaitumia kudownload movie kwenye ubuntu os...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom