Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wana jukwaa natafuta common interface kwa ajili ya TV yangu kwa jijini DSM nitapata wapi
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Wakuu naweza pata application ya kuhesabu umbali i.e km kwny android ninapokuwa nafanya mazoezi ya jogging. Msaada pls kwa anaefahamu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba mwenye kujua jinsi navyoweza kuwaka matangazo kwenye blog yangu. Naomba anisaidie na huo ujuzi.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nina kiaidia mshenzi ambacho nataka kukifanya. Lakini sina ujanja na software development hivyo namsaka mwenye ujuzi huo. Tafadhali kama una ujuzi wa software development na una experience...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana jf natumia simu aina ya huawei ascending y300 nili root na kuweka custom ROM ya slimkat sasa nimedownload whatsapp kwenye play store baada ya Ku install ikanambia kwamba slimkatrom...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada nawezaje kununua Apps za Android zinazouzwa? Card ya bank niliyonayo ni ya NMB tu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mdogo wangu kachezea simu yake ya nokia E5 kwenye phone security code Amesahau namba alizoingiza na simu imejifunga kila akitaka kufanya chochote simu inadai security code Naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
WanaJf nimetafuta mtandaoni bila mafanikio, yeyote mwenye uzoefu na kazi za vitambulisho nahitaji msaada wako!!
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Waheshimiwa natumia Samsung Galaxy s4 naomba mnifahamishe namna ya kusign out kwenye account yangu ya Gmail maana sioni kitufe cha sign out kabisa Je nifanyeje? msaada...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wabari wakuu Simu yangu ni Samsung S advance GT-I9070,android version yake ni 2.3.6 lakini nataka kui-upgrade mpaka android version 4.2. Je,natakiwa nifanyaje ili ni upgrade na kuna madhara...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Msaada wenu tafadhali wataalamu,simu hii ilikuwa inasapoti whatsapp,lakini nilipoirestore ikawa nikitaka kuidownload inagoma na inasema muda sio sahihi, hivyo niurekebishe kwanza,lakini hata...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Samahanini wajuvi wa simu. Hivi kuna namna yoyote ya kuongeza sauti(media player)kwenye simu ya android.kwa maana ya application inayoweza kuboost sauti ikawa juu.tofauti na ya simu husika...
0 Reactions
4 Replies
868 Views
Habarini wapendwa. Natumia Samsung Galaxy s5 original yenye warranty ya two year's niliinunulia pale posta makao makuu ya Samsung J M Mall Sasa tangu jana simu inastuck mara kwa mara.. mfano...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu.. Naomba kuuliza je kuna madhara yoyote ya kutumia antivirus mbili kwenye simu kwa wakati mmoja..yaani zote zile zinafanya kazi kwa wakati mmoja.. nawasilisha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Niwasalimie tena mchana huu wana Jf, Mimi nasumbuliwa na tatizo moja tu, kwenye simu yangu ya Huawei y300-0100,Wakati ninapo pigiwa simu na gmtu ambaye nimesha sevu namba zake kwenye sim card...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima mbele wakuu, Jana nimelipia tsh 20000 Azam tv ili niweze kuona channels zote ikiwemo VIASAT NATURE/HISTORY Channel lakin cha ajabu naambiwa access denied kwa baadhi ya channel ikiwemo...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari zenu jamani, Japo kuna maada nyingi humu zinazohusiana na hii kitu,mimi binafsi sijaelewa vizuri sehemu kadhaa kwa mfano,je naweza kufungua akaunti hiyo bila ya kuwa na akaunti katika...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimeuziwa ipad2 nikaiwasha iko vizuri nimetumia kama two hours out of internet no problem! Mambo yamebadilika baada ya kuiunga na mtandao ika jilock na kuandika ipo kwenye lost mode! Sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Halo wana JF science & gadgets, Natarajia kununua laptop ya mtumba hivi karibuni naomba mnifahamishe specs za laptop ya kufanyia graphic designing kwa Ku tumia PS Cs6 na kadhalika. Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kichwa cha habari kinajeleza. Internal memory ya simu yangu imejaa sasa nataka ku save vitu kwenye Memory Card ila nimeshindwa kupata hiyo option. Tafadhali naomba msaada kwa mwenye...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Back
Top Bottom