Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana JF, Mimi ni Mjasiriamali mwenye umri wa 20' yrs. Nimesoma Bachelor of Science in Computer Science Software Engineering, nimejiajiri kwenye industry ya IT. Nimefungua ofisi Sinza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu wa Technology! Simu ya HTC One at&t nikiiwasha inaitaji SIM Network Unlock PIN. Sasa hii unlock code nitaipataje wadau?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF nimenunua kifaa cha kudaka mtandao wa internet ya Wi-Fi, je kifaa hiki ni universal{mitandao yote} au ni mtanao mmoja tu? je ili niweze kutuia nahiaji kufanya nini? niliweka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
MSAADA WADAU! Nipo najifunza taaluma hii ya madishi ila kuna maelezo siyaelewi naomba kueleweshwa! 1) Hili swala la ueleke lina maana gan? Utajuaje kama uelekeo huu ni wa Azam, DSTV au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi members, Nina simu zangu nilikuwa natumia marekani kwa lainj za huko. Ni LG Optium L70 na Alcatel, zote hazizitambui laini za mitandao nchini, naomba msaada kwa anayejua kuzifungua tafadari.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani mimi nikiscan simu( ni adroid) hii program ya com.android.wifi.sta huwa inakuwa detected as a Trojan,, naombeni mnieleweshe kwa nini inakuwa hivyo ukizingatia hiyo program huwa inakuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
An artist's impression showing Jupiter, and the moon Ganymede with its auroral lights Continue reading the main story Related Stories Europe plans space science future Jupiter moon spouts water...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Naomba msaada guruz katika hili jukwaa Nime root simu ya Samsung Grand prime kupitia Odin 3.07 Sasa Game nikiwasha tu lazima ipitie recovery mode afu nikichagua "Reboot now" ndo inawaka kawaida...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
habarini za jion wakuu wote ninaomba kujua jinsi ya kufanya matangazo ya kwenye website yawe yana movement kwenye simu yangu android 4.1.4 kama ilivo kwenye computer??
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Naangalia kipindi kwenye channel ya CBS R kinachoonyesha kesi mbalimbali za watu na wataalu wanavyotumia utaalamu wao kukusanya ushahidi kwa kesi ngumu za mauaji. Wenzetu wako mbali sana katika...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Habari zenu waungwana! hivi karibuni nimepata wazo la kuanzisha jarida format kama yale ya BANG!, ONSPOT, VIBE, KITANGOMA . Ila idea yangu ni unique kidogo na nimefanya research nimeona kuna tija...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, naomba msaada wa kiufundi, nina laptop ya dell, kila niki connect adapter kwenye socket alafu nikichomeka kwenye laptop basi taa ya kwenye adapter inazima na umeme unakua...
0 Reactions
4 Replies
976 Views
Ofisini tuna wifi kwa ajili ya wateja, iko password protected lakini akija mteja tunampa. Tatizo kuna vijana wawili hivi wana vilaptop vyao ngambo ya barabara wanapewa password na mmojawapo wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu,naomba msaada WA jinsi ya kuweka windows live id
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Nilipeleka Huawei Y-300-0100 kwa fundi iliyokuwa inaji Restart kila saa,ikiflashiwa inakataa, inaandika "EMC IS READ ONLY,IT CANNOT UPDATE THE SYSTEM"Niifanyeje jaman.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu zangu Wapi nitapata hii kitu. Laptop yangu ilidondoka na sasa no display. Nataka nifanye replacement, wapi nitapata hapa Dar?
0 Reactions
2 Replies
798 Views
Jamani kwa anaefahamu zaidi hili la whats app company kuwapa notice developer wote wa unofficial whatsapp app kama vile whats app plus na OG atujuze coz toka juzi whatsapp plus users hatuwezi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu wadau? Ninatumia huwei y530 nikai root kwa kutumia toweroot nilifanikiwa lakin internal storage ili corrupt kwahiyo nikawa siwez ku access intenal storage. Nikaona bora ni fully...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hivi watu wa mitandao si wanajua kila cm inayopigwa na mesej inayotumwa? Kama jibu ni ndio basi uwezekano wa kukamata wanao husika na mauaji ya mazeru zeru. Mafisadi wote serikalini pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwenye kujua link au website nayoweza kudownload circuit nzuri za aplifier,booster,tv na inverter .na je naweza kupata equvalent book cha transistor na ic kwenye mtandao aksanten
0 Reactions
7 Replies
984 Views
Back
Top Bottom