Based on the intermittent power supply from TANESCO,I have thought a strategy to import this service from Scandinavia countries where it is argued that power supply problem is probabilistically...
Tafadhar msaada wenu wana Jf. Simu yangu inagoma Ku install Facebook.imetokea iv niki update..message ninayopata inasema 'Application need features not available on your device.
hii nimeipata mtandaoni kihusu macbook mpya... chanzo-; Apple's Latest Betrayal | TechCrunch
Seriously, https://jamii.app/JFUserGuide them, wrote one tweeter called M.J.-The person was speaking about Apple and the...
Natafuta location ya fundi makini wa iphone. Simu yangu imeharibika power button.
Naomba awe wa uhakika na asije kuniharibia. Na gharama za kutengeneza ikiwezekana ntashukuru pia.
Mobile markert are filled with fake phones and they selling them as original,that looks similar to the original phone.
To check whether your phone is original or fake the ways of checking it...
Naomba kufahamishwa, Je ubora, ufaninisi na uwezo wa tablets za techno ukoje? (samsung yangu imechukuliwa na mtu, na sina pesa ya kununua nyingine wiki hii, ndo maana nataka nijishikize na techo)...
Wadau naomba msaada, nina simu ya lumia 520 ilkuwa inagoma kudownload au kufanya updates, nikareset simu shida iliyopo imefuta kila kitu na haitaki kuactivate internet. Nifanyeje natumia line ya...
Hivi majuzi nimekutana na mapromo kibao kuhusu kijana wa miaka 19 anaejiita dj tee kufungua kituo chake cha redio geto kwake , inavo semekana eti ana rusha matangazo yake kwa ku hack airwave za...
Naomba msaada kuhusu kupotea kwa wifi kwenye Simu yangu ya iPhone 4s. Ilipotea ghafla na mpaka sasa siwezi kupata wifi wala icon ya wifi siwezi kuiclick.
With WhatsApp being one of the major and most used messaging app on every smartphone, there are some few tips you need to secure your chats. WhatsApp currently boasts of over 700 million users...
Wakuu habarini za asubuhi,naomba kupata details za simu ya sony experia sp ziko vp. Nahitaji kununua hii simu hivyo naomba mawazo yenu juu ya uimara wa hii simu.
Natanguliza shukrani.
Ndege ya kwanza inayotumia umeme wa jua imejaribiwa leo asubuhi Katika jiji la ABU DHABI, mida ya saa 12 kwa majira ya afrika mashiriki.
Jaribio la kwanza la ndege inayotumia umeme jua...
Kuna mtu anataka kuniuzia samsung note 3 nikipiga *#06*# kuangalia kama ni original naona iko fresh pia menu iko fresh sema nikiiwasha au kuzima haiandiki samsung .
Je! simu hii ni orijino Kwel ?
Habari wadau.
Ni vizuri tungepeana maujanja wadau wanaotumia BlackBerry 10 phones hasa kwenye hii update yao mpya walioitoa feb 2015.
Binafsi najiona kama nimenunua simu mpya kwa jinsi my...
Nataka kubuni kamera ya kufatilia nyumba yangu lakini sijafahamu nitawezaje kupata vifaa husika kwani ninaouwezo wa kutengeneza kifaa cha kunasa sauti (transmitter/receiver) au kwakifupi...
Habari,
Wakuu katika jukwaa hili nikikuwa naomba kujua kama kwenye mwenye kufahamu bi kini windows 10 itakuwa lauched kwenye simu na watu wakaanza ku upgrade!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.