Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ninataka kujua apps gani zinazotumika kudownload picha/video instagram...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Je ungependa kutumia Whatsapp voice Calling Sasa weza kudownload Whatsapp APK ya WhatsApp for Android NB: KWa wale wote wanaosambaza massage zao whatsapp za kuwema YOu have been Invited sijui...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Habari wana JF. Naomba msaada kwa yeyote alieweza kutumia remote za kudownload kutoka playstore ya google. Kama ulishawai kuitumia na ikafamya kazi naomba unieleweshe kidogo kwani nilidownload za...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
WhatsApp For Windows 8.1 Msaada namna ya ku download hiyo software kwenye laptop Lengo langu ni nitumie laptop kwa kuchat kwenye whatsapp
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I don't blame you for dismissing this as news for April 1st (April Fool's Day) coming out early in March. I would have dismissed it in the same way had I not met a Zanzibari whose friends...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Natanguliza salam, Kwa wadau wa electronics, natafuta integrated circuit namba sta540sa, nimejaribu sehemu kadhaa nimekosa kwa Dar, kvd na baadhi ya maduka... naombeni msaada kwa mwenye nayo, au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
msaada plz kwa wale wataalam nimenunua flash disk sasa nataka kudownload nyimbo fro you tube then nizisave kwenye flash disk in form of windows media player je zitakubali ku play kwenye singsung...
0 Reactions
1 Replies
892 Views
This product caught my attention in the past two months and i did consider it to be a breakthrough in technology and computing, been even regarded as the future computer. i was eager to post this...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Guys, am in need of a software called 'aaSIDRA' simply SIDRA. Its a traffic Engineering software
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana naomba ushauri wenu kwa mwenye uelewa, kati Computer engenearing na Electronics $ Telecomunication engenearing ipi ni best kwa kujiajiri?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
I THINK HUKU KUNA WATALAM WA I.T. ni hivii... asee pc yangu inazingua nikiiwasha inawaka na kuzima na kuwaka na kuzima hivyo hivyo kama dim light tatizo linaweza kuwa nn???
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Angalia demo yake katika mtandao wa youtube Hapa. pia download app hiyo kwenye attachment hapa. Tafadhar toa mapendekezo yako kuusu app hii
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nmekuwa nikilalamika kwa jambo hili mua mrefu sana nikidhani pengine watajirekebisha. jana nimenunua kifurushi nikajiunga UNI255 NIKAPATA 1GB internet Bundle.usiku nikaingia kidogo kusurf jamii...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Ebana nina tatizo kwenye simu yangu tajwa hapo juu na ninahitaji screen ya HTC one VX, je ninaweza kuipata wapi na kwa bei gani? msaada wenu wakuu........
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Nina nokia lumia kwa bahati mbaya nimesahau passwards za microsoft account na kila ninapotaka ku update application inataka niweke passward. Tatizo ni kuwa wakat naanza kutumia hii sim sikuwa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari gani wadau? Kwa sasa hivi nahitaji sana kuweza kuangalia channels za Kitanzania online, haswa vipindi vya taarifa za habari. Ila nimejaribu sana websites mbalimbali bila mafanikio. Siku za...
0 Reactions
20 Replies
13K Views
Niliwahi ku root huawei y330 na iRoot ikakubali... Nikacheki katka CPU-Z ikaonyesha root access is "yes". Baada ya dakika kadhaa inasema device is noot rooted. Ipi njia sahihi ya ku root huawei...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Anaitwa Kelvin ana umri wa miaka 15, see what he did
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimesevu majina kwenye simu lakini kwenye whatsapp hayatoki zinatoka namba tuu, naukitaka kumuadd mtu ili tuchat ukiangalia kwenye add kule hakuna hata Jina moja nawatu nnao wengi tu kwenye...
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Nimewahi kusikia kwamba unaweza kuweka chanel za bule ndani yakinyhamuzi kwakuweka flee kwens za chaneli kusika vp inawezekana nakama inawezekana unatumia hatua zipi kuziingiza chanel.
0 Reactions
0 Replies
441 Views
Back
Top Bottom