Wanajamvi habari zenu!! Mimi nina idea na video editing kwa kiasi hasahasa katka software ya sony vegas pro. Najua pia kuna wataalamu wa adobe,final cut,ulead n.K so sio vibaya tukaulizana maswali...
Wataalum heshima kwenu, naulizia programme nzuri na ya kisasa ambayo nitaweza kutumia for free kudesogn logo au flyer.
Kwa mwenye kujua naomba anijuze. Nawatakia usiku mwema
Habari zenu ndugu, nimekuja hapa jukwaani kuomba msaada mwenye ujuzi na blog
Mm nina blog inayokwenda kwa jina la FRONTPAGE, tatizo lake ni kwamba niliweka picha kwenye title ila haiko vema sana...
Mwenye kujua kutatua Ili tatizo,ghafla simu inawaka Lakin kwenye kioo hakuna kitu Giza mtu akipiga unapokea Lakin haujui nani,Sijui tatizo nini na imetokea ghafla tu
Update
Nimeirudisha na...
Basi la kwanza nchini Uingereza linalotumia kinyesi na uchafu unaotokana na chakula limeanza safari yake ya kwanza.
Bio Bus,lenye viti 40 na ambalo linatoa huduma ya uchukuzi kati ya Bath na...
Habari wakuu,
Nina iPhone ambayo mpz wangu amei block kwa ku attempt pin code akitaka kusoma meseji zangu hadi ikawa disabled. Sasa nataka ni restored firmware kwa kuiweka iphone yangu kwenye DFU...
Wana jamii, habari zenu? Nilipewa ipad 3 kama zawadi ambayo inaingia line Ya simu lakini haina sehemu Ya kupiga Simu. Nilikua Naomba Msada wenu kujua kama unaweza kupiga simu kutumia iPad na kama...
Habari,
Nina printer ipo installed kwa pc ya Windows 7 via USB cable na imekuwa shared. Hii machine ni 32Bit sasa issue iko hivi kuna machine nyingine ina 64Bit ya Windows 7 na inagoma kwenye...
wakuu ni kama mwezi sasa na wiki kadhaa zimepita tangia nilivyoibiwa simu na vibaka waliochana nyavu nakuiba kupitia dirishani.
ni simu aina ya huawei y530.risit na mpaka box lake bado lipo...
Nilimwona jamaa fulani ana-download file la 14MB kwa dakika 2 tu kwa simu ya TECNO H5 Nikatamani sana na mimi simu yangu ya NOKIA E65 i- download haraka kama yake,
kwani siridhiki kabisa na speed...
Wandugu mwenzenu nimeumbuka, nahitaji msaada au nini cha kufanya. Bado sijawa deep na Wordpress lakini clients wengi nilionao sasahivi wanataka site zao ziwe kwa Wordpressfor for CMS stuff.
Sasa...
Wakuu habar.
Nimepata tatizo hapa linaniumiza kichwa..nilikua naweka partion mpya kweny laptop yngu yenye window 8.1. kwa kutumia AOMEI assistant.sasa baada ya kujiprocess nikakuta pc inaleta...
naomba msaada laptop yangu aina ya TOSHIBA satellite ilzima gafla,nikiwa naangalia muvie,nilivyoiwasha taa ya power inawaka,na fan inafanya kazi ila screeni ni nyeusi,nifanyeje jamani
Habari zenu wana jamvi,
Nnaombeni mnisaidie nimitengeneza website yangu kwenye notepad kwenye sula la kuhost ndio majanga yenyewe hivi ni hosters gani wana host freeee?
Jamani naombeni mnisaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.