Today being one year since the disapperance of of the flight MH370, the world with all developements in technology has not been able to tell its whereabouts, not even telling (without doubts) what...
Hizi ni simu za kampuni ya Oking. Kwa kutunza chaji ni imara na inaweza kudumu hadi siku 9 kwa mtumiaji mwenye matumizi makubwa. Tatizo inachelewa kutafuta network na huwa inastak mara nyingi...
Kwa anayefahamu ni hatua zipi nizifuate ili niweze kuzuia moja ya folder kutofunguliwa na mtu mwingine kwani sitaki kuweka Password kwenye Laptop ila kwenye folder muhimu ili mtu asije kufuta...
Wakuu kuna uwezekano wowote modem yako ya internet unayotumia kwenye computer ikakupa wireless internet (Wi-Fi)?,kwamba modem ikiwa kwenye computer basi iwe source ya wireless internet kwa simu au...
Hii simu haitaki kuinstall Facebook kutoka play store..inasema this application is not installed need some features which this phone don't have.. Pls naomba msaada wataalam..
Hello, we are calling from Windows and your computer looks like it is infected. Our Microsoft Certified Technician can fix it for you.
Sound familiar? Whether you have just been scammed or simply...
Habari wakuu, nimenunua line ya Airtel nakuitumia kwenye simu yangi aina ya Sony Experia Z1 kila napowasha data GPS inajiwasha nikijaribu kuizima baada ya sekunde chache inajiwasha tena...
habarini za humu ndani,,mimi ni mwanafunzi wa chuo nataka kujiunga na postpaid ya tigo je nini kinachotakiwa kwa huduma hii jamani wenye uzoef naomben mnisaidie,,
Habari humu ndani,
Nina tatizo la laptop hp compaq presario iliingia maji muda mrefu kidogo, nikaifungua na kuisafisha na vifaa vingi vinafanya kazi nimejaribisha kwenye laptop nyingine, Ram...
Wakuu tupieni apps mnazoziona Bomba kwa android Na iOS tupate uwanja mpana wa kutumia simu zetu
Naanza
Android-googles (hii unapiga picha kitu then unakigoogle)
iPhone- sleep better (hii una...
Habarini wanaJF.Natafuta Display ya laptop Lenovo min(10.1).Nimetafuta kwa mafundi wengi nimekosa so kwa fundi au yeyote anayefahamu zinakopatikana aniPM au anitaarifu hapo chin..Ahsanteni.
Nltumiwa na mwanangu computer bahati mbaya hakuniambia kuwa inatakiwa kuweka (mla/mzuia wadudu) antivirus, baaaye kukawa na tatizo ambalo limeifanya kukosa uwezo wa kufanya kazi.
Baadaye...
Ni utafiti mdogo tu,
Nilijikuta nagundua kuwa ikiwa simhitahi mtu hata kama namfaham, achilia mbali kama sikujui sina haja kusave namba yako ktk smart yangu kwa sabb haitatoka tena,
Ukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.