Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndugu na jamaa unaemiliki blogs zinazohusiana na burudani naomba msaada wa ku-upload wimbo huu hapa http://www.hulkshare.com/mylifejob1/geita-boyz-umaarufu-1 Kwa namna moja ama nyingine...
1 Reactions
1 Replies
992 Views
Kama umetambua mara moja hilo bango hapo juu limetokea blog gani basi waingereza husema "shame on you". Mimi naweza kujitetea kuwa nilikuwa nafanya research kwa ajili ya blog post hii (ahem!)...
0 Reactions
11 Replies
14K Views
Kwanza salam!!!!!!! Mimi nataka kuwa fundi wa simu ainazote.. hivyo natafuta mtaalam wa kunifundisha namna yakutengeneza simu mbovu,.,
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naomba link ya kudownload window 7 loader
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Habari.. wapi naweza pata redio tajwa kwa dar au arusha?inauzwaje?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa… me naomba kujua jinsi ya kuopen files o documents na jinsi ya ku share o kusand kwa email 📤 microsoft office kwa kutumia android
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka ku download games kupitia kickass torrent..
0 Reactions
1 Replies
755 Views
Natumain Wataalaam Wa Jukwaa Hili Ni Mko Poa, Naomba Maelekezo Jinsi Ya Kufunga Sacket Mpya Kwenye Tv Ya Sinsung (flat Mbele) Nilivyofunga Mm Naona Inanizingua, Haijazi Kioo. Nawasilisha
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ofisini ninayofanya kazi tunatumia wifi ya Smile, hivi majuzi wameblock sites mbalimbali ikiwemo youtube; Hivyo nakuja kwenu wanajamvi. Naomba mwenyekufahamu namna ya ku unblock my PC anisaidie...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
nimepitia posyt nyingi humu ndani kwenye forum lakini hamna hata moja niliyoweza kutatua tatizo langu. (1)Nianze vip ili iweze tambua driver za modem (2)Nitaziingiza vip ili iweze tambua driver
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nina desktop ya dell ukiiwasha inawaka then wakati naendelea kutumia inaweza kuzima kwenye monitor huku mashine ikiendelea kuwa on hapo hadi niiache tena kma nusu saa hivi ndo inawaka tena...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mara nyingi ipo kwenye edge tu au kuna baadhi ya moderm azina3g? Nawasilisha tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Siku kadhaa baada ya kupiga marufuku picha za ngono katika blogs zote zinazotumia platform ya blogger (blogs za ngono zapata pigo toka kwa Google), kampuni ya Google imefuta maamuzi hayo. Katika...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Ukiweka line inakuandikia Invalid sim card. Network locked sim card inserted
0 Reactions
4 Replies
747 Views
Ninaomba kupewa msaada juu ya jinsi gani naweza kuboresha blog yangu katika nyajna hzi 1. Kupata sponsors. 2. Kuboresha muonekano wa picha. 3. Kujua jinsi ya kupata matangazo ya kibiashara na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba ushauri wadau,nahitaji kununua Smartphone kwa bajeti isiyozid 150,000.Ni product gani kwa sasa nzuri kwa bajeti hiyo?
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Naona mchina ametengeneza clones Za almost simu zote kubwa, lakini swali langu ni kwanini akitengeneza clone za iphone anaziwekea android badala ya ios wakati ios iko online anaweza kuipata bure...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gallaxy Ace2 niliifactory reset juzi nikaweka apps mpya ila baada ya hapo ukituma sms zinaSENDING.... mda mrefu inakua please wait hazioneshi kuwa SENT or DELIVERY, na hata sms sipokei tena...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
  • Closed
Wakuu naomba ushauri wenu kwa hili; Nilipo sasa hakuna umeme,lkn nna tv na redio.Je nikinunua betri mpya ya gari itanisaidia walau hata kuskuma redio?
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wana JF. Naomba mnishauri mawazo N.K kwa yoyote mwenye ufahamu na hili jambo. Nina diploma ya computer science kutokana na ugumu wa ajira. Nimefikiria kujiajiri ktk tasnia hii híi yaan...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom