Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu mimi nimeshajaribu kutafuta njia mbalimbali za kupata hela kwa kutumia internet kama kufanya survey mbalimbali na kujaribu bidhaa mpya.Lakini katika nafasi hizo nimekutana na mambo matatu...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
HTC One M9 hands-on: You can’t fix what isn’t broken Preview By Jacob Siegal on Mar 1, 2015 at 10:45 AM...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu salama? Kama ilivyo kichwa cha habari na kama ilivyozoeleka kwenye Windows XP ilikuwa rahisi kwenda kwenye program kwa kupitia start Button unakutana na orodha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni Msaada Jamani Jana Kuna Mtoto Kachezea Simu Yangu Pattern Mara Nyingi Mpaka Simu ika ji lock inaniambia niingize Googleplay Account ili niweze Kulogin kila nikiingiza ina sema invalid...
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Habari wana jukwaa ? Nina simu aina ya HTC pro touch 2 ni window phone, nilipata tetesi za juu juu yapo maujuzi ya ku-root window phone na kuwa android. Mwenye kufahamu ujuzi huu naomba anisaidie.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
HP teamed up with Microsoft to build its latest flagship laptop This isn't your typical laptop...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba msada jinsi ya kupata chanel za ziada kwenye hicho kisimbusi tajwa hapo juu. Nifanye kwa wale watalaam wa haya mambo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Meck Khalfan Mbwana ni Mtanzania aliyezaliwa na kukulia Tanzania lakini kwenda Marekani kuendelea na masomo huko. Kutokana na kimbunga cha Sandy mwaka 2012 kilichoathiri wakazi wengi wa jijini...
6 Reactions
70 Replies
16K Views
Wanajamvi nina simu aina ya tecno h5 android version 4.2.2 (jelly bean ) nataka kuiwekea rom mpya ya kitkat 4.4.2 naombeni msaada jinsi ya kuroot iyo cm na kuweka custom rom inayo faa nisije uwa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
We've been patiently waiting for Microsoft to announce a flagship Lumia smartphone since its acquisition of Nokia was completed last March, but all we've really gotten is midrange handsets...
0 Reactions
1 Replies
683 Views
Nimekuwa mtumiaji wa Google Map na Google Earth kwa zaidi ya miaka sita sasa. Sikuwahi kujiuliza ni utaratibu gani uliowawezesha Google Map kuyapata majina ya vitongoji na vijiiji hadi barabara za...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Ukitumia airtel kwa maeneo yenye 3G. Kuna vifurushi ambavyo unaweza kuvimudu hata wewe pia. 1. Kifurushi cha data cha sh. 1000 kwa wiki cha 800MB 2. Kifurushi cha siku cha sh 1000 dakika 30...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Waungwana samanini sana, kama kuna mtu alishawahi kukumbana na hali hii,au anakua nna ya kulotatua anishauri yeye alifanya nini au nifanyaje? Nina simu tajwa hapo juu,(Huawei y 300,) ilianza...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wanajamvi kuna application nimetengeneza inaitwa ''masaba chat'' ila bado sijai publish kwenye play store wala amazon store sababu nikutaka kujua ubora wa application yangu na inaweza kusapot sim...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Hey Arusha folks, we will be meeting this Wednesday at AISE Tanzania in the Twende Workshop in Nanenane-Njiro, Arusha. If you are interested please be free to join us, you can bring your friends...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Napenda kujua na kufaham jinsi ya kutumia tethering and portable hotspot kwenye android ya 4.1.2 ukiwa hauna mb utumie mb za mwenzako
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari jf! Naomba ushauri nifanye nini ili niweze kuzuia simu yangu tajwa hapo juu kutopata moto pindi napoitumia? Natanguliza shukrani!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye nazo au moja kati ya hizo naomba anisaidie pls, napenda nizijifunze.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi kwa sasa niko Uganda napata kila wakati sms zinazonihamasisha kuangalia vipindi vya TV na link wananitumia ambayo ni hiiFahamu vichwa vya habari kwa wiki nzima katika KAPU LA TBC saa 7:00...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mmh! ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM), Nachukuwa degree ya ELECTRONICS & COMMUNICATIONS ENGINEERING, Ombi langu kwenu ndugu zangu ni kwamba kama kuna mtu anazijua au anaijua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom