Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Simu yangu aina ya Samsung imekorofisha. Nipige picha, nidownload, niende play store nk inaandika memory full wakati ina 8GB built in na 8GB SD card. Nimefuta kila kitu tatizo lingalipo...
0 Reactions
0 Replies
553 Views
Habarini wakuu, kuna website ya chuo kimoja cha habari natakiwa ku edit kutokana na matatizo ya design yaliyopo. Shida niliyonayo ni kuwa sina access ya source code na hakuna uwezekano wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
its.the authentication.codes that will be only.6000/ per month.haihitaj ununue code 10. hata moja.tu. Ni PM nikofoadie codes if you are in need of.. *****viva**********
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Anaejuwa kutengeneza antena ya dikoda anijuze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Samaani wakuu kama mlisha wahi kuongelea kuhusu hili,ila linanisumbua sana, katika site nyingi ninazotaka kujoin au ku ship online huwa wana niambia niweke Adress yangu na hiki kitu kinaitwa Zip...
0 Reactions
1 Replies
9K Views
nina blog zangu tatu na zote zina matangazo ya adsense nimeamua kuuza moja ambayo ni mpya sijaitumia sana kwa bei chee kabixa mwenye kutaka kunza kufaidika anitafute.....bei ni 120,000 tu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiukweli nimegundua udhaifu uliopo kwa tovuti za serikali kutotoa updates za maana, ni kama hawajui matumizi ya teknolojia ya kisasa. Wazembe wasiojielewa, story ya 2013 front page? Weka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yeyote anaefahamu nawezaje pata unlock code za huawei ili simu yangu iwe na uwezo wa kutumia laini yoyote. Kwa sasa natumia tgo tu
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna website moja ya nchini US huwa napenda tembelea kwa kutumia simu Yangu. Tatizo nikitumia PC wana niambia huduma haipatikani kwa watumiaji nje ya US. Swali langu Je hyo website inawezaje...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari, samahani, Naomba mnijulishe Wapi ninaweza kupata peptone water na chamicals zingine kwa ajili ya microbiology studies?
0 Reactions
0 Replies
732 Views
habari ya week end wana familia hii,naomba kufahamishwa being ya Samsung P1 kwa anaefahamu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hbr wakuu naomba kuuliza kila siku naona humu watu wakiuliza namna ya ku root simu zao ila mm leo nauliza ku root simu ndo kufanya nn simu yangu ni tecno m3
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu Kwa wanaotumia mtandao wa voda Baada ya kupunguza vifurushi vyao Imekuwa ni ngumu kwa wenye simu za smart4n kuvinjari kwenye mtandao. Fanya hivi uendelee ku-enjoy kwa 1000 tu. 1...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Salaam wakuu, Nina android device yangu ( citycall mobile 930I) ambayo in a run kwenye SPD chip. tatizo nikwamba kuna some upgrades nilijaribu kufanya sasa kwa bahat process ikawa unsuccessful...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni application gani inayo weza kupata meseji anazo tumiwa mpnzi he/she, help jamani Mfano, mm natumia smartphone yeye anatumia simu ya kawaida
0 Reactions
1 Replies
891 Views
habari zenu wandugu anaehitaji ku unlock huawei ambazo zimeshindikana atumie hii software
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Ita cost shiling ngapi kutengenezewa app kama ya mtu binafsi au biashara?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu, Nililipia Dstv Premium miezi kadhaa iliyopita, baada ya hapo sikulipia maana channels ziliendelea kuonekana(hazikukata baada ya muda wa kifurushi kupita) ila jana zilikata, sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujua Cccam gani ipo hewani na ni steable ifungue sports zote na swahili magic. Na vipi kuhusu Tv1 na Aonestar zimesharudi hewani naomba nijuzwe na bei kuanzia miezi 3 hata ukini pm sawa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba wataalamu mnisaidie maana napiga namba yao ya huduma kwa wateja eti haipatikani. Tatizo;;;; ninapoingiza vocha yangu na kumalizia na alama ya reli kama nilivozoea napata message isemayo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom