Habari wakuu,
Mambo niaje ndugu zangu? Samahani nilikua naomba mwenye notsi au vitabu vya data structure and algorithm hata past papers zake au njia za kuelewa zaidi iyo topic.
Ahsanteni.
Habari ndugu wana JF,
Nashukuru kwa msaada wenu nilifanikiwa kuroot simu yangu Samsung i8268 kwa kutumia flamaroot baada ya kuroot nikaenda playstore kudownload ROM manager app lakini kwenye...
Ninatumia android kwenye smartphone double line ambapo natumia line namba 1( tigo) kuaccess internet plus downloading apps from playstore sasa nawezaje kuongeza line namba 2 ( voda) ili niweze...
Wtaalam kwema? Jamani nisaidieni nina simu ya samsung galaxy ina tatizo la kuvibrate na kuleta ujumbe unaosema "Kernel don't panic" hapo hadi nitoe betri ndo inaacha kuvibrate, nikiwasha tena...
Naomba unisaidie ,ni program gan naweza ku install kwenye compyuta na kuchorea michoro kama;
~ electrical circuits
~elecric bell
na michoro mingne kama 2D na 3D
Nissan patrol
Nissan Patrol ni series kubwa ya magari yatmiayo mifumo ua four-wheel drive .yanayo tengenezwa na campuni ya Nissan Japan toka 1951.
The huwa yanajulikana kama magari magumu...
Naombeni mnisaidie waungwana katika kuchezea cm yangu nimejikuta imekuwa bricked... nkiwasha inaishia kwenye logo ya tecno tu... nimejarbu kusoma solutions from hovatek lakn kudownload stock rom...
Habarini wakuu!
Nitaanza na mfano; upo ofisini unaandika taarifa fulani kwenye Microsoft word,muda umeisha na unatamani sana kumalizia taarifa hiyo kwenye tablet yako,au simu yako lakini huna USB...
Nina computer aina ya intel ni hii mitumnba ya computers 4 Africa, inafunguka ndani kwa ndani lakini monitor inakataa ku-display, yaani imepoteza stability kabisa. Naomba msaada namna ya...
Wana JF sioni option ya kuweza ku-attach file kwenye email. Natumia simu ina browser Opera mini na pia baidu. Je nifanyeje? File liko kwenye Sd ni la Word
Natumia ya tecno p5 kuna wakat nikichaj inatumia muda mrf kujaa yaan kuanzia masaa 3+ ndio inajaa ila kuna wakat mwngne nikichaj inatumia muda wa kawaida kuwa full.
Ninaomba msaada wenu tatzo...
Nina computer aina ya intel ni hii mitumnba ya computers 4 Africa, inafunguka ndani kwa ndani lakini monitor inakataa ku-display, yaani imepoteza stability kabisa. Naomba msaada namna ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.