Wanajamii
Kichwa cha habari kinahusika. Natafuta karatasi za busines cards kwa ajili ya Epson P50
1. 350 milligrams au
2. 300 milligrams
Nazihitaji Arusha, zikipatikana kwingibe pia...
Natanguliza shukran wakuu, je kuna njia yeyote ambayo ntaeza kupata application itakayoeza kuonyesha video za youtube kupitia Blackberry za mwanzo kabisa blackberry curve?
Wale wataalam zaid wenye ufahamu wa ICT
Mim ni mtumiaji mahiri wa simu usb cable katika simu na laptop yangu, pia natumia modern sana.
Tatizo napata message hii. "usb devise not recognised...
Imekua kero kwa watumiaji wengi wa vodacom kupata mb 8 tu ambazo ni chache mno ukilinganisha na 50mb walizokuwa wakitoa zamani, hizi mb 8 inabidi utumie kwa matumizi ya kawaida sana, kama unataka...
Habari wakuu, Mixxx is an open source computer program for DJing music. The software is specifically suited to the style of mixing known as beatmatching. Mixxx is cross-platform, natively supports...
Wakuu poleni na majukumu!
Kwa anayehitaji kupimiwa kiwanja au shamba na kujua ukubwa wa kiwanja chake tutamsaidia kwa gharama nafuu kabisa!!!
Hapa naambatanisha picha mbili za mashamba...
Wanajamii, tusaidieni watu tunaoishi huku mabonde kuinama.
Ninategemea kuja Dar kikazi hivi karibuni. Nikiwa huko ninahitaji kununua TV flat screen ya inches 32.
TV gani ni nzuri na inauzwaje...
Utafahamu namna ya kuifanya computer yako kushare internet yake katika devices nyingine mfano smartphone, tablet na hata computer nyingine bila kuunga waya wowote(wireless).
Mkuu...
Wadau natumia laptop aina ya Asus core i5 tatizo lake kubwa ni speed ndogo kwan inazidiwa hata na pc zenye dual core, window ninayotumia ni window 8 na Linux, ram ina 4gb lakini inaonesha ram...
Habari wana JF wenzangu,
Naombeni msaada kwenye king'amuzi cha star times most of channel are not available even TBC na channel ten nnatumia antenna yao ya kawaida (yagi ulda) na nimelipia...
Wakuu,
Kuna hii application cyti web application kwenye PC yangu kwanza inablock anti virus na inaruhusu spyware kwenye pc yangu.
I can clearly see somebody somewhere accessing my Personal...
AdSense Your AdSense application status Thank you for your interest in Google AdSense. Unfortunately, after reviewing your application, we're unable to accept you into AdSense at this time.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.