Heshima kwenu wadau.
Laptop tajwa hapo juu ina password kwenye BIOS ambayo hp huiongezea.
Nahitaji kui bypass nimekwama.
Nilikuwa naijua trick ya kutoa battery na ku disconnect CMOS battery kwa...
Wakuu wapi naweza pata refill kit kwa ajili ya kujaza wino wa printer aina Hp deskjet 2050 all in one kwa kazi za home..
Na zinauzwa bei gani?
Shukrani
Cm yangu ni samsung GT 5303. Kila nikitaka kui install e.g UC Browser nijibiwa An errow occur when retrieve from sever ...........* nimekosea au nifanyeje!
Msaada Tafadhali.
Wakuu wiki iliopita wajanja walikata wavu wakakwapua kimeo cha shemeji yenu iphone 4, na kwa msaada wa apps za cydia nikafanikiwa kuipata iphone tena
Kwanza hatukukimbilia kuiweka kwenye lost...
Jamani hii simu yangu yenye ujanja ujanja (smartphone), baada ya kuitumia muda mrefu inafika wakati ambapo nikibonyeza app flani inafungua app ingine!
Au kama nina browse mtandao basi kuopen...
ninatumia cm ya tecno p5. kila nikijiunga inaleta maneno haya "THE IP ADDRESS YOU ARE USING HAS BEEN FLAGGED AS OPEN PROXY". Natumia opera min. nisaidien tatizo silijui.
Nokia is one of the largest selling phones across the globe.Most of us own a Nokia phone but are unaware of its originality.Are you keen to know whether your Nokia mobile phone is original or...
Kwa wale wote mnaotaka ku-update Android 5.0, a.k.a Lollipo, Nawatahadharisha Mpitie comments za simu zenu ambazo watu wamefanya hizo Update.
Hii Update kwa simu nyingi imebainika inakula betri...
Investigators uncover what is thought to be the biggest ever cybercrime with more than £650 million going missing from banks around the world
British banks are thought to have lost tens of...
Kuna kijana mkali wa sayansi ya elimu viumbe (Cardiology sijui)wa miaka ya 1990 mkenya Bethwell Mbugua sijui siku hizi anasomekea wapi.
Maana nakumbuka aliwahi kuviketisha vichwa pale UDSM na...
Wapendwa, ninamiliki tablet 2 Samasung huu mwaka wa pili. Kuna tatizo linanisumbua, kila mara inaonyesha kujaza data, wakati nimefuta karibu kila kitu kwenye gallery.
Je, itakuwa imejaza nini, au...
Range rover
Ni gari ya kiingereza ikiwa imetengenezwa mwanzo mwa miaka ya 1965 -1970 ikiwa na mfumo wa SUV ( sport utility Vehicle) na kiwanda cha LAND ROVER Wametengeneza aina nyingi sana...
Google is opposing a plan to increase the US government's power to infiltrate computer systems around the world, warning that it will raise a number of "monumental and highly complex"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.