Hii ni news from Reuters kwamba kuna firmware imekuwa planted na moja ya intelligence agencies katika kila hard disk zinazotoka nchini marekani. Hii firmware ina start pale unapo boot computer...
Naitaji kufahamu Website hosting inaweza ghalimu kiasi gani cha pesa kwa mwaka?! Na nisaidie server zipi zipo vizuri katika kuhost site zikiwemo za Tanzania na za nje ya Tanzania.
Weekend hii nlikua natafuta biblia ya kiswahili Android store nikakuta kama 5 hivi zote zinafanana Interface nikahisi wote watakua wamechukua code somewhere na kubadili kitu basi nimetengeneza...
Habari za majukumu wakuu, nina Samsung Galaxy Note 10.1,
1. toka jana (16 febr 2015) imeleta mistari inayocheza cheza na kama mawingu vile kwenye screen. Nimejaribu kufuta application...
Habar zenu wakuu .. Nina laptop dell latitude E5420 nilikua na badilisha hdd kwa bahat mbaya pin mbili zilichomoka kwenye hile hdd connector yake.. Naomba kama kuna mtu anayo connector ya haina...
Wadau naomba ushauri, toshiba yangu ilianza kwa kukoroma kwa spika na sasa haitoi sauti kabisa, sababu yaweza kua nin? maana uzoefu na haya mambo sina kupeleka kwa mafund wetu hawa naogopa...
Katika simu yangu aina Tecno Phantom Z nime-download applications nyingi na sasa inaniambia hakuna nafasi ya kutosha (insufficient space) ninapotaka ku-update hizo applications.
Kinachonisumbua...
Mwaka jana nilisikia wanazitangaza sa sijui kama bado zipo? haijalishi ni dot matrix, lazer au bable jet, ila iwe nauwezo wa kutoa copy pia (photocopying).
Naombeni msaada wenu, mimi sio...
Hellow wanajamvi ?...
Katika pita pita zangu madukani nimeziona hizi simu viwa x7 na max 5 nkavutiwa na specs zao especial ram ,storage,android version na size ya screen.
Ila nina wasiwasi...
PC yangu haioneshi neno send ili nitume email, nifanyeje wadau niweze kutuma au hiyo option imejificha sehemu gani?
Pia PC nyingine kwenye button iliyoandikwa ''scoll'' panawaka mwanga wa blue...
Ninaposema bei ndogo simaanishi bei ndogo kabisa ni around laki 4 japo inaweza kupungua kidogo, mara ya kwanza nilipoiona sikuamini vitu unavyopata na bei unayolipa. nafkiri simu hii sasa...
Samsung imewaonya wateja wake kuhusu kutojadili mambo yao ya kibinafsi mbele ya televisheni zao.
Onyo hilo ni kwa wale watazamaji ambao hudhibiti televisheni zao kwa kutumia sauti.
Baadhi ya...
Jamani kila nikichomeka drive yoyote ile kwenye computer yangu iwe ni flash, memo. card, hdd na hata modem nakuta folders zote zilizo kwenye drive husika zimebadilika na kuwa shortcuts.
Tatizo...
Kuna dogo alikuwa anatumia computer yangu,sasa katika utundu wake akawa ameweka password na kwa bahati mbaya haikumbuki hiyo password. Sasa naomba msaada wenu wa jinsi ya kutoa hiyo password maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.