Unakumbuka wakati ulikuwa unahitaji antivirus kwa ajili ya kutafuta virus ndani ya komputa ikishawapata itawaondoa kwa kuwafuta na pengine kufuta files ambazo zimeathirika na virus hao ? huo...
Hivi punde nilikuwa nawasha PC ila to my suprise PC ilikuwa kama vile inawaka ila haifiki mwisho na kuanza ku run OS, instead ilikuwa inatoa kama ka ALERT TONE fulani hivi
Nilipo fatilia source...
Kwa kweli mimi ni mtumiaji wa window 7 na pindi nitakapo kubadili kwenda kwenye ubuntu rafiki zangu hunambia kuwa ni ngumu kutumia na pia kila softwire lazima iwe ya ubuntu maana haingiliani na...
Habari wakuu, kwa wale wasioweza kuishi bila Kickass torrent site najua mna taarifa ya kuwa imefungwa.
Hii ndio link ya kuipata kimya kimya: Download Torrents. Fast and Free Torrent Downloads -...
Nimepita sehemu flani na kuona Trenet tv ipo online,ni chaneli ya dini ya kiswahili toka Tanzania,nimeshindwa kudadisi hata kuwauliza kwa mazingira niliyokuwa nayo.Naomba msaada je? Ipo angle...
Habari wakuu.. msaada Tafadhali, Nawezaje ku improve my server response time? ni njia gani nizifate ili blog server yangu iweze kurespond faster.
Shukran..
Nawasilisha
Baada ya kukosa mechi za EPL kwa mfululizo wazo likanijia nitafute TV CARD niweze kuona TV channels kwenye TV. Sasa ipi ni nzuri na ambayo haina usumbufu kati ya TV CARD internal na external. kwa...
Habari za Hapa Wana Tech,
Kuna kaProject kangu najaribu kukafanya, lakini nimefikia mahali nimekwama. Natengeneza webservice ambayo itakuwa ina-access na DataBase, sasa mwanzo nilizani mechanism...
Teknohama ni fani kama walivyo Madaktari, Wanasheria au Fani Nyingine. "Products & Services" za Teknohama ni kama Nyanya sokoni, au Kitenge kwa mangi au hata Maabara hospitali. Ila kuna kitu...
Nikifungua application ya Adobe illustrator kwenye pc yangu inanipa error ifuatayo kama inivyonyesha kwenye oicha hapo.
Nimejaribu kuunstall na kuinstal upya lakini bado napata error hiyo.
pia...
Ndugu, habari zenu.
Kuna simu ninataka kuinunua, nimeiona ktk gulio la www.amazon.com..
Swali langu ni hili, itanigharimu bei gani kwa fedha zetu za madafu kuiagiza hadi kunifikia hapa...
Wakuu kuna yeyote aliyefanikiwa kupata huduma ya internet kwa simu za blackberry za verizon,kama yupo tafadhali naomba ushuhuda alifanikiwa vipi?
Msaada tafadhali.
Kuna some Documents nimeweka kwenye "external disk" kutoka kwa Windows user,ila baadaye nilipo taka kuzi delete zina kataa na hiyo nime jaribu kwenye windows 8 na Ubuntu 14.04...
Shida hapo...
Waheshimiwa humu ndani naomba Kuuliza kea,
Wataalamu wa magari hivi unaposikia Kuwa gari engine yake Ina VVTI maana yake ni nini? na pia faida na hasara za gari yenye engine yenye VVTI...
Wakuu Habari zenu!
Naomba msaada simu yangu samsung 7580 kila nikiweka data connection ON inajizima hii ni baada yq kuiflash kwani iliingia virus.
Naomba msaada kwa anaye au mwenye namna ya...
Hi wanaJF,
Nimedesign wordpress cms in my local server(xamp) but nimekwama mazima kuupload kwenye godaddy server
nkitumia ftp sipati server conection.
Nkitumia plesk window naambiwa unsurpported...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.