Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomben msaada pls nina samsung ya kichina na nataka kudawnload operamini,java na google play nidawnload mtandao gan?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kompyuta ukiweka modem inaandika internet access lakn ukifungua webbrowser haikuwal kuacess. Inaandka webpage unresponsive
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Kama heading ilivyo, Sijawah kuweza kupokea simu kwenye PC zaidi ya kuona tu msg Na mpigaj kuskia inaita lkn mm siioni Nini cha kufanya?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nilinunua iphone 4s kwa mtu lkn siielewi kabisa, nikitaka kuweka vocha yenyewe inapiga simu, nikitaka kuangalia salio yenyewe inapiga simu na kusema namba haipo
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii simu siku hz nikitaka download program play store inaandika insufficient space on device wakati nafasi ni kubwa.. sijajua tatizo nini hapa msaada tafadhali
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari zenu waungwana ninatatizo na simu yangu aina ya galaxy s3. Tatizo lipo katika maswala ya intanet enabling kuna kipindi simu inagoma kujiunga na intaneti na hata kitufe cha mobile data...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tafadhali mwenye prog ya kugawa hard disc anisaidie nina laptop yangu imekuja na window 8.1 na ina ant virus ila hhd ni 1tb bt haijafanyiwa partition sitaki kugonga copy ya window coz yakujia ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Zipo bunduki nyepesi za askari wa miguu lukuki katika soko la silaha ulimwenguni.. Hata hivyo kuna bunduki moja (rifle), aina ya Automatic Kalashnikov (AK) ambayo imedumu kwa mauzo na sifa...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Iphone 5s version 8.1.2 inagoma kuwaka Wi-Fi
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Database nimeshindwa kuitengeneza kwenye laptop yangu
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Computer yangu ilipoteza desktop icon nikatumia app moja inaitwa recover my files baadhi ya program zimerudi lakini si zote na zilizorudi hazi function kabsa labda nyimbo angalau msaada tafadhal...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu salaam! Ninashida ya kushindwa kupiga simu kwenye iphone 4s! Nimejaribu ku upgrade imegoma! Nimeweka version hii ya 8.1.3 ambayo ni latest! Naweza kupokea, kutuma msg, internet n.k ila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari,simu yangu tangu asubuhi inazima na kuwaka kila wakati. Ikiwaka inakaa tu kama sekunde 5 inaji Restart tena. Niliifanyia Data Wiping/Factory Reset ikakataa kufuta ma file. Naomba msaada...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Anza kujifunza GUI programming kwa kutumia qt. Hapa
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Leo nimekuta bundle za OMG kuna mabadilika. OMG siku 50MB=250, 300MB=500 na 1.2GB=1000
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Msaada tafadhali software ya ku unlock huawei y300100
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nowadays hii teknolohia imeingia ila haijaenea sana. kwa wale wadau wa video shooting hasa sherehe za mahatusi n.k wanajua zaidi. Kupitia uzi huu naomba tupeane hayo maarifa pamoja na kujua...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau nahitaji kunua battery ya laptop kubwa zaidi ya niliyo nayo sasa ambayo ni 6 cells 44000 mAh sasa nimekutana na specification za battery kama nilivyo eleza hapo juu, je kati ya hizo ipi ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ipi ni simu nzuri kati ya tecno p3 na n3 ubora na kimatumizi.
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Kwa wale wanao jua mambo yetu yale ya TV1 account sikuhizi naona inazingua sana, kama kuna mtu yeyote anaejua suluhisho lake naomba anisaidie.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom