Habari,
Nimetengeneza Website hii kwa ajili ya matumizi ya IT Company. Nahitaji msaada wenu kuireview kwa sababu ipo kwenye final stages za development kabla haijaanza kutumika rasmi. I tried to...
Habari wanajamvi la tech na wengine wenye ufahamu wa hili jambo.
Niko kwenye mchakato kwa kuwa na supply Microsoft office packages (Ms2007,Ms2010,Ms2013) ,windows OS kwa makapuni au institutions...
Habari,
Ninaomba kuuliza kama inawezekana kuirepair simu aina ya iphone 4 ambayo ilikuwa haiwezi kutumia mitandao ya hapa tanzania.ila ilikuwa ukiconnect through wi-fi unaitumia kama...
Kwa wale wenye ufahamu wa DC++/PtokaX Hub nadhani hili suala halitakuwa geni kwao. Ningefurahi kama ningeweza ku implement hii sharing portal ili tusiwe tuna download from scratch vitu ambavyo...
Natumai mu wazima kabisa na pole na matatizo kwa walo wote walofikwa na maswaibu mbalimbali. Lengu langu ni kuelimishwa na kujua juu ya bei (Dish, LNB, KU, Receiver) kwa pamoja na namna ya kufanya...
Poleni na majukumu.
Simu ya galaxy 4G LTE inanishinda kuunganisha internet, nimeingia ktk setting/mobile network, nimefanya configuration ya vodacom, pia mobile data ipo ON na neno 3G pamoja na...
Wakuu naombeni frequency za Emanuel TV kwenye azam..nimeangaika sana kuzitafuta naombeni mnisaidie. mods msiunganishe huu Uzi na mwingine ule, nimekua specific
Hi All,
Wondering if i could get some advice/help
I have a Toyota IST 2003 and it has no power socket/cigarette lighter socket. Is it possible to have one installed? (dont smoke, but handy for...
This is toomuch yaani karibu kila computer ninayoiona hapa bongo windows yake ipo pirated yaani imechakachuliwa itumiwe bure bado haitoshi karibu kila software kuanzia IDM, Photoshop...
Wakuu naomba msaad jinsi gani nitaweza ku copy crack folder into directory.. Hii ni baada ya kujarbu ku crack idm naambiwa ni copy clack folder to directory.
Nina tv ya kichina kioo chake kinaonesha picha za kupauka, ukiwasha ina rangi ya blue iliyopauka halafu maandishi yana kivuli hayasomeki vizuri.
nimejaribu kufunga saketi mpya lakn bado tatizo...
Ndugu zangu watanzania,
Leo nimejaribu kwenda kwenye Website ya PROIN nikiwa na dhamira ya kununua one movie ili ku-support watanzania wenzetu walioko kwenye hiyo tasnia. Website inadai kuwa...
Kwanza kabla ya kuanza nashauri ununue iPhone badala ya ku install hizi Apps, ila kama unataka kufanya experiment, show off au for fun.
Hizi ndio apps zinazokuhusu
iOS 7 Lockscreen Parallax HD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.