Hii PC ni desktop,kila nikifanya windows installation inaniletea msg hii.No device drivers were found.make sure tha the installation media contains the correct drivers and then click ok.
Lakini...
Habari zenu wakuu nilikua naomba mnijulishe kama kuna uwezekano wa kuunganisha mafile ya pdf kuwa file moja. Kuna kitabu nimedownload ila kila topic na file lake.
Sasa nilikua naulizia kama kuna...
Wakuu, nina shida katika Computer yangu kunakuwa na shida tajwa hapo juu kama kunakuwa kunatokea screen ya blue na computer inakuwa inajizima, mara ya kwanza ilikuwa inaingia hadi mwisho.
Ukiwa...
Kwa wadau wanao penda kuwa wabunifu na waundaji wa vifaaa vya kielectronics
UKWELI KUHUSU UBUNIFU NA UUNDAJI WA VIFAA VYA KIELECTRONICS.
Itambulike kuwa saketi za vifaa vya electronics ni...
Nilikuwa natumia application inayoitwa ' lock box' kuweka taarifa za muhimu ambazo sikutaka kula MTU anaetumia computer yangu asiweze ku access taarifa na documents zangu za muhimu.
Jana nilikuwa...
Wanajamvi sijui kama tatizo hili lipo kwangu tu au na nyie limewakuta. Kila nikijaribu ku-log in inaonekana kukubali na inafikia hadi pale napoambiwa welcome Willy Gamba 1 then inaendelea ku-load...
Habari wana jamvi, nina simu aina ya samsung galaxy s3 , nilijaribu kuiroot ili iwe "mpya" kwani kuna baadhi ya vitu sikuweza kuvifanya kama screen shot...baada ya kusoma baadhi ya thread kwenye...
Heshima kwa wakubwa wote wa tech!
Mimi nina taaluma yangu tofauti kabisa na utaalam wa masuala ya computer!, lakini kuna jambo moja ambalo kila siku linaendelea kunivutia siku hadi siku. Nayo ni...
Husika na kichwa cha habari,
Hapo nimetengeneza programu ya mtu anaingiza muda amabao anafanya kazi na kima kwa kutumia python lengo ni kupata gross salary, niki run programu haina error haitoi...
Habari,
Kwenye TV yangu , nina shida... TBC1 haitoi sauti lakini channel nyingine zote zilizobakia zinatoa sauti vizuri tu, kwa yoyote wa kuweza kunisaidia tafadhari... kisimbusi ninachotumia ni...
Jamani nina king'amuz cha Azama ila nashangaa kuna chanel kwenye chanel list hazifunguki...
Nilipo nunua nilikuta NTV kenya and NTV uganda zilikua "access denied, ikaja pia pia chanel nyingine...
Naomba kujulishwa mwenye kufahamu namna ya kutuma SMS Kutoka kwenye Computer kwenda kwenye Mobile anijulishe au ni application/software gani ninanyotakiwa niwe nayo kwenye PC yangu ili niweze kuwa...
Natumia TECNO 635 Iatumia 3G internet .
Sasa nkitaka kuunganisha namba angu katka whatsApp wananiletea haya maandishi.
(sms verification failed. WhasApp can also call you at 076236___ Tap "call...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.