Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba msaada nifanyaje, Applications za youtube, mobogenie na playstore hazifunguki katika simu yangu. Mara zote zinasearch then napata ujumbe wa no network try again hata kama network ipo high...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu naomba msaada namna ya kuinstall Zorin Operation System kupitia USB
0 Reactions
4 Replies
828 Views
Naomba mnifahamishe ni njia gani nzuri ya kuweza kuhifadhi documents muhimu kama vyeti na mikataba zilizopo katika mfumo wa softcopy. Namaanisha kuhifadhi kwa namna ipi ndio safe zaidi katika...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
For those of you residing in Arusha, We will be having another meetup today at Aise Tanzania in Njiro nane nane from 6:00 PM. Main topic will be Raspberry PI, All interested web, mobile...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Want to Find or Check who is stealing Your WiFi Internet ? – From Past Few Weeks I have been receiving lots of queries regarding slow down of internet connection speed asking if there is any...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu, kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia DC++ kushare files na majirani zangu kupunguza usumbufu wa ku download vitu ambavyo tayari watu wengine wamesha download. Client software natumia...
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Natumia bluestack kuingia whatsapp lakini inajizima yenyewe naweza nikawa nimeifungua naitumia lakini nikiacha kuitumia kwa sekunde kadhaa inajizima mpaka niifungue tena upya. Inachotaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika mtiririko wangu wa ku-design vifaa mbalimbali vya electronics,leo nawaletea kifaa ambacho ni mkombozi kwa wanao fuga kuku kwa kutumia taa za filament. Teknolojia hii ni maalumu kwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau, nawakaribisha kutazama na kutoa maoni yenu ya kiufundi (Animation & Motion Graphics Based Opinions) juu ya Video hii ya wimbo "ukimwona" wa Diamond Platnumz. It's a full Kinetic Typography...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau Naomba kujuzwa bei ya Sony xperia L kwa sasa dukani wanauzaje? Nashukuru sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada (ufafanuzi) namna ya kutumia hotspot shield elite kwenye Windows PC. Na je, ninaweza kutumia unlimited bandwidth na kama inawezekana ni kwa vipi? Ningependa nipate full datails...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Wadau, Jana Usiku Mvua Kubwaa Ilinyesha Sasa Mimi Nipo Chuo Nikaacha Laptop Ya Dell Vostro 1540 Nyumbani Karibu Na Dirisha! Dirisha Lilikua Wazi Mvua Ilinyesha Masaa Mawili Consecutively...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Simu tajwa inasumbua ukiwaiwasha inawaka then inanipa option ya password nikiweka inakubali ila some time inagomea kwenye logo ya huawey other time inawaka kabisa then inaanza kudisplay fail...
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Habari za asubuhi wote. Naombeni msaada kwa anayejua nawezaje kutatua hili tatizo, ANISAIDIE! Laptop yangu haitaki kuwaka mpaka iweze kutumika. (Power inaingia vizuri, Tatizo ni booting)...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Namtafuta mtu anayejua vizuri sana program ya HEC-HMS. Please, PM
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Naomba kuelekezwa namna ya ku flash hz simu za promotion za vodafone 785 Ili niweze kutumia laini za mitandao mingine. NB: Nimekua na wasawas kuwa huenda ikapunguza ufanisi / utendaji upande wa...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Wadau nahitaji msaada wenu wa mawazo na uzoefu wa kutumia Flat screen TV na Friji. Nauliza hivi kwa sababu nataka kwenda kununua dukani. Na nahitaji vitu bora. Nawasilisha wakuu..
0 Reactions
35 Replies
12K Views
Habari zenu, naomba msaada internet inagoma kwenye simu yangu ,inahtaji niingize Network SSID, Security na password. Sielewi ntazipata wap? Aina ya cm ni Infinix X352
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wakuu sim yangu lg g Flex imedondoka nakuvunjika kioo, (touch screen), naomba msaada niwapi naweza pata kioo chake Msaada tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada kujua local channels zinazopatikana kwenye king'amuzi cha zuku. Pia naomba ushauri king'amuz gani ambacho ni kizuri kutumia ukiondoa startimes.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom