Habari wana jf hatimaye Leo nimefanikiwa kuroot simu yangu kwa kutumia flamaroot sasa naomba msaada wenu hii flamaroot Niki I uninstall kuna tatizo lolote?
Ninatumia Samsung Galaxy S3 mini ambayo ina Run custom Rom(CyanogenMod11) sasa nataka kubadili Rom nakuweka CganogenMod12.
So nahija Link ambayo naweza kudownload hyo custom Rom(CyanogenMod12)...
Simu yangu y530 imeleta ujumbe huu. Inasababisha kila nikifungua browser kukata na nashindwa kuperuzi.
Nimefuta kila kitu kwenye Card n internal memory lakini wapi?
Mwenye ujuzi please
US and Rwandan researchers said Wednesday they have developed a low-cost smartphone accessory that can detect HIV and syphilis from a finger prick of blood in just 15 minutes.
This is the first...
KWA mtu anaelewa hili naomba sana sana anisaidie
Natumia dell inspiron 15 3000 series
Nliichukua ofisin ikiwa mpya ilikua imewekwa window 7 ultimate, lkn haikua na Ms office, nikatafuta mtu...
Wakuu
Siku hizi kuna mitandao ya kila aina mpaka rafiki yangu Le Nanihii anao ila inayoelimisha na kuhabarisha kuhusu Tehama ni michache au hakuna ya uhakika.
Naombeni idea jinsi ya...
Nina Laptop HP Probook 4320s,
Button ya wi-fi haiwaki white kuniruhusu ni kamate wi fi nime uninstall ni me disable wapi nimeenda katika forum za hp ni fuata maelekezo wapi nimeamua kutumia...
A hack at Anthem, the second-largest health insurer in the country, exposed personal information about millions of employees and customers. But the attack is just the latest evidence that...
Jana zuku wamenitumia txt kwenye namba ya cm na kunipa maelekezo ya kuscan receiver yao na nikafanya hvyo baada ya hapo wakanipa channel zinazopatikana kwenye kifurushi cha zuku classic ili hali...
Nili update firmware kwa kutumia Samsung Kies, nikafanikiwa, sasa nikitaka kupiga simu inaniandikia NOT REGISTERED ON NETWORK. Nikiangalia IMEI NUMBER naona imebadilika ni tofauti na...
Kwa wale ambao wanapenda kubana matumizi wanaponunua Tv, Smart Tv Stick ni muhimu mno. Badala ya kununua tv ya Smart tv ya ukubwa wa 55" kwa shilingi Tshs 5,000,000, unaweza ukasave pesa kwa...
If your Androids performance is starting to sag, dont worry. There are several steps you can take to restore your device to working order. Use these five tips to stay vigilant against...
Technology is really advancing at the speed of light with countries in europe and asia currently leading the pack. Africa is currently lagging behind and are dependent on already existing...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.