Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kila nkiweka kwenye pc yangu hainipi 3g yaan edge tu hadi inaboa naombeni msaada wenu wajuzi nifanyeje ili iwe fasta.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WhatsApp wanakuja na huduma ya kuongea kupitia app yao, watu wameshaanza kuifanyia majaribio india na inapiga sauti clear hata ukiwa edge!
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Wadau kuna ndugu yangu anaenda u.k jumatatu, kaniambia ataniletea simu ntayoipenda ila isizidi 450,000/= (172 pounds or 259 us dollarz), simu nayotaka iwe na camera nzuri (13mp and above)...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wana JF, Nataka kuweka kitabu kizuri saana hapa hasa kwa vijana wanaopenda siasa naomba nielekezwe namna ya kuweka kila nikienda pale kwenye kitufe cha kuattach naona picha tuu au siona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mwaka mpya wanabodi ? Hapo juzi kati mdogo wangu kanikabidhi simu ya samsung wave 3 s8600 ambayo inatumia Bada OS, Nimejaribu kila namna kuinstall whatsapp na apps zinginezo kama...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Msaada jamani nataka kununua king'amuzi mimi ni mpenzi wa Trenet Tv .
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wanabodi hiyo inawezekana?maana sina muda ila kuunga vifurushi vyao vya siku mpaka mwezi Naweza tatizo kwenda. Kuungiwa siku ya kwanza kabla. Kama Kuna yeyote anayejua atuelekeze hapa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale wataalam wa mambo ya smart phone, Naombeni kufahamu simu ipi hapa ni bora zaidi katika kudumu na charge, na ipi ina kamera nzuri? HUAWEI ASCEND Y 330. TECNO H5.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu WanaJF. Naombeni msaada simu yangu S4 inazidi kunisumbua kwa kujizima yenyewe wakati chaji ipo 70%.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, Naomba msaada wa shauri nina weza kutumia HP workstation computer kama server na ikafanya kazi vizuri kama server za kawaida,asanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba mnieleze maama ya maneno yafuatayo huwa nayaona kwenye specification za simu. (1) kernel version (2) baseband. Natanguliza wingi wa shukrani mi momi mwanaJF mwenzenu Rodwell mTz.
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Naombeni msaada wenu wakuu jinsi ya kutuma picha hapa kwa kutumia simu yangu
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Watalaam naomba mnisaidie program ambayo itaniwezesha kutuma sms zaidi ya 20000 kwa pamoja au kwa makundi makundi kwa muda mfupi.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Simu yangu aina ya samsung galaxy s4 inawaka lakini haifiki mwisho nadhani tatizo ni operating system (startup file limezingua) naomba kuelekezwa jinsi ya ku fix hili tatizo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada tofauti wa Tables na IPad ili nijue ninunue kipi na faida zake.
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Poleni na mujukumu wadau...mimi naomba mnisaidie jinsi ya ku-play music files zenye format ya wma kwenye simu (adroid mobile phone), nitashukuru kwa msaada wenu. Nawasilisha.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimenunua mzigo ebay wiki moja sasa, baada ya siku kadhaa nilipata email kwamba mzigo umeondoka UK, nikapewa na track number pamoja na link ya website. Je hii track number inafanya vipi kazi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kama kuna mtu anafaham jinsi ya kutoa/bypass icloud kwenye iphone 5 naomba msaada!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina simu aina TECNO T635, nashindwa kudaniload whatsapp ktk hii cm, kwa anaefaham anielekeze.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hi wanaJF, nimekutana na utirio mkali nikaona niushee jukwaan kwa atakayeuona unamfaa auchukue. The Business of Android Apps Development.pdf
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Back
Top Bottom