Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nina s4 sch r970c inakataa kusoma laini inaonekana kama imelokiwa msaada tafadhali
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mtu kaniletea ipad ya apple ambayo haina access ya kuinsert sim so najiuliza ninawezaje kutumia Internet ikiwa nipo huku kwenye maeneo ambayo sina access ya wireless internet. So naomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumia Printer ya EPSON L210 yenye kutumia wino wa maji wa kujaza kwenye matanki(Liquid ink refilling tank), kwa kuwa nilinunua ikiwa mpya kabisa ilikuja na package ya chupa za 4 za rangi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
1 Reactions
5 Replies
958 Views
wakuu kuna yeyote anayejua ninapoweza ku unlock iPhone ya mtandao wa AT&T natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naombeni msada wa chuo kinacho toa taharuma ya computer science kwa gharama nafuu kilichopo dar na kama unajua sifa za kujiunga.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
samahan wadau nimefanya setting ya display ya cpu inagoma kuonyesha kwenye monitor natumia window7 computer desktop hp nikiwasha inawaka ila haionyeshi kwenye display
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu, Mimi nina laptop yangu nimeweka Windows 7 sasa tatizo linakuja kuwa kila nikiiweka Start Windows Normally halafu nika connect na chaji kwa pamoja inakuwa kama ina start...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana, Ninahitaji ku-update ios ya Ipad Air kutoka 6.1.2 Version kwenda Version za juu kwa maana ya 7 au 8.1 Nimefuata procedure za kawaida za ku update but inashindikana. Nina click...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau habari,napendwa juzwa kuhusiana na uwezekano WA Simu tajwa hapo juu kuzi unlock ,kwani nataka nunua
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau wa JamiiForums naomba mnijuze au mnipe wavuti wa kutazama online football especiaally uefa leo. Natanguliza shukrani zangu kwenu greats thinkers.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naombeni msaada ndugu nataka kutoka facebook
0 Reactions
29 Replies
11K Views
Wadau naombeni msaada, Kwa mwenye nayo, au namna ya kuweza kuipata, nnliwasiliana na jamaa wa NECTA wakanambia inapatikana kwenye website yao, nimefatilia sana lkn wapi. Natanguliza shukran.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mashine za kukamua maziwa za kituruki zimekuja bila kitab cha maelekezo naomben msaid jins yakupata maelekezo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu wajukwaa hili, Mimi nipo hapa kutaka kuhabarishwa kujua fedha itakayotumika kununua solar itakayoweza kukidhi mahitaji yangu ya computer moja pamoja na radio subwoofer moja, computer...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mwenye uelewa na digital kamera anisaidie, nina 150,000/=. Je! Ni aina gani nzuri. Nipo Dodoma, kwa Dodoma duka gani wanauza kamera zenye ubora, ata kwa Dar kama kuna mtu anafahamu...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Tangu kuanza kutumika rasmi mwaka 2008 katika smartphones. Operating System hii imekuwa na version mbalimbali ili kuleta maboresho katika kutoka version moja kwenda nyingine. Pitia hapa ili...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Msaada nifanyeje?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, natumia tecno, kuna mtu nilimblock kipindi cha nyuma ila nikaja kumunblock, bt tangu hapo nikiwa sipo hewan yeye tu akinipgia anaambiwa number busy. Tatizo ni nin wakuu?
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Nina tablet lakini haina google play, naomba anayeweza kunisaidia jinsi ya ku install apk ili google play ifanye kazi. nawasilisha.
1 Reactions
4 Replies
909 Views
Back
Top Bottom