Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Apple announces biggest ever investment in Europe and claims in new research that it supports almost 700,000 jobs across the continent Tim Cook unveils the Apple Watch, which is expected to...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Wakuu nimekutana na misamiati hii kitaalamu kwenye mambo ya ICT ningependa kuyajua kwa kiswahili ndo itakuwa poa zaidi. Misamiati hii ni TCP/ IP protocol, server, cybernet na internet browser...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Natumia tecno p5. Nimeshindwa kukopi contacts. Nisaidieni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani wanajamvi kwema? kwa mara nyingine natokea hapa jamvini kuja kuomba msaada wa mawazo. Nina simu yangu aina ya tecno p5 (android 4.2). sasa tatizo limeanza leo kuwa kila mara GPS inajiwasha...
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Ninaweza kupata wapi Arduino Uno Aina yeyote
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nina laptop ya dell Model LBL P/N DP429 A200.....Kila nkijararibu kuiwasha inaniandikia TFGHT IS MISSING..........Suluhisho lake ni lipi? What msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Please someone to help me airtel configuration code for tecno635
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninatamani sana Nijifunze Programming Language, Ninawaombeni Wanataaluma JF ANAEFAHAMU njia nyepesi tafadhali nisaidieni
0 Reactions
157 Replies
14K Views
Nina ipad yangu imegoma kufungua apps ya video sijajua tatizo nin na ni ipad one please i need help wanajamvi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman nakuja humu nikijua kuna magreat thinkers watanisaidia. Email zangu zote nikilogn in wananambia my account has been disabled.. Nifanyeje jaman afu nimetumiwa vitu vya mhimu sana. THANKS...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni miezi miwili sasa tangia nimeanza kutumia hii simu(Samsung Galaxy Note 4) ila bado sijaona faida yeyote kwa kutumia hii simu...maana sioni tofauti yeyote ya kimatumizi. Kama kuna mtu yeyote...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Habari za wakati huu. Tafadhali nisaidie kupata unlock code za Huawei y330-u11 ambayo IMEI yake ni 863963027237853. Natanguliza shukrani zangu za dhati. NB: Uki'comment hapa au kuni'PM yote sawa.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
za saa hizi wanajamvi rejea kichwa cha habari hapo juu ningependa kufahamu jinsi ya kutengeneza bomu la kutupa asante
1 Reactions
61 Replies
24K Views
Wakuu habari zenu. Nahitaji msaada katika javascript. Ndio kwanza beginner but nina idea kidogo. Najua css na html. Nimetengeza page with fields. Sasa kuna sehemu nimeweka ivi: <select>...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa? Natumia Solar power, converter yangu imezima ghafla ila inapokea moto wa betri kwa kushtua shtua, inshort haifanyi kazi, naomba wenye maujuzi na kifaa hiki wanipe ushauri juu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu za majukumu? Juzi katika pitapita zangu nikaona kuwa Vodacom wana promo nyingine ya Simu tajwa hapo. katika kutaka kujua simu hiyo INA specification IPI ndipo nikaingia katika page...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada kwenye simu ya huawei ascend g510-0200 imekuwa inadisplay unfortunately, the process android. Process media has stopped. Nimejaribu kuuninstall app zote lakini nikizima nikiwasha mambo ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
What's app yangu imepigwa ban,hii ni kutokana na nilikuwa nataka kuweka what's app plus. Nifanyaje wakuu ili ifanye kazi kawaida? Shukrani.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Msaada waungwana, toshiba laptop yangu imezima kabisa baada ya kuchomeka USB wakati nachaji simu, msaada maana hata dalili ya taa moja hakuna.
0 Reactions
37 Replies
10K Views
Wanajamvi habari za saizi, kuna website mmoja nimetembea ambayo wanauza binocular bei rahisi sana, ni kampuni ya kichina, sasa wanahitaji malipo kutumia paypal. Hivi naweza kuwaamini nikalipia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom