Natumia Sonny Experia z2, na install IMO ila pale inapo anza na ingiza namba simu nikisema Get stated ina load tuu na haiendi popote ikisema one moment please.
Wana jamvi, jamani mimi nina external usb yangu, majuzi jamaa alii-format kimakosa halafu akaweka data nyigine, niliposhituka na kutambua kuwa baadhi ya docs zangu zimeangamia ilibidi kufanya...
Wadau inawezekana nipo nyuma kiteknolojia, nimekaa pahala namuona bwana mmoja kashika tablet, na pia kavaa saa mkononi, kilichonisgangaza amepigiwa simu halafu anapokelea kwenye hiyo saa, naomba...
jamani nimejaribu kufungua account ya twiter ...imekubali lkn kila nikijaribu kutweet au kumalizia registration procedures inazingua.... kwa wataalamu nijulisheni kidogo au kna sehemu nakosea
Habari zenu wana jukwaa pendwa la science&gadgets,
Nimeleta uzi huu wa kupata msaada wa kujuzwa namna ya ku-copy taarifa yoyote hapa jf au hata kwenye website nyingine kwa kutumia simu/...
Habari za mida ndugu wadau wa maendeleo, mazingira, ma siasa, ma teknohama, mahusiano na mapenzi.
Huwa najiuliza sana kuhusu wapigaji picha hapa nchini. Ni kwamba hawana camera za ukweli ama...
Nina mini laptop ya hp ambayo nimeitumia kwa miaka kadhaa sasa.
Hivi karibuni imekuwa ikiwashwa screen yake inaonyesha mistaristari tu, mara ya blue, mara myeusi. Hata sasa hakuna...
-TUNAFANYA REPAIR ZA LAPTOP NA DESKTOP ZENYE MATATIZO MBALIMBALI NA KURUDIA HALI YAKE YA KAWAIDA.
-MOTHERBOARD REPAIR-tunafanya repair ya chip mbalimbali zilizokufa kwenye motherboard...
Hi wadau nina exteno drive yangu nilikuwa naitumia vizuri bahat mbaya ikaanguka chini na sasa haisomi kwenye pc..inaelekea kun damage kwa ndani. Kuna fundi au ushauri wowote nitapata? Nipo...
Nimeanzisha poll najaribu kuona watanzania tunatumia simu zipi maana naona data za online haziaminiki wanasema watanzania wanaotumia simu zaidi ya 40% wana iPhone, haya si maajabu.
Sasa naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.