Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimekosea namba ya siri hivyo simu imefungwa, nimeulizwa e mail na password lakini nikiweka naambiwa haiko sawa. Simu ni vodafone V75
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Asema kina uwezo wa kupokea current kutoka kuwili {njia mbili} na kutolea katika moja, hata kama source moja itakua innactive. Kama inavyoonekana katika sketch hii hapa chini....
0 Reactions
26 Replies
7K Views
habar wana JF?naomba msaada jinsi ya kuchakachua modem ya voda c6 E173
0 Reactions
0 Replies
958 Views
RAM kuanzia 3GB HD 300GB nakuendelea Kwa aliyepo Morogoro offer kwake nichek 0712667669 Iwe kwenye excellent conditions plz
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu kila mmoja. Naomba mwenye product key ya windows 8.1 core anisaidie, maana nilikuwa na temporary product key ambayo imeisha na windows inahitaji kuwa activated. Natanguliza shukrani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu.. naulizia bei ya kioo cha Simu aina ya HTC one X, kama kuna mdau yoyote anayejua gharama yake. Au kama kuna mtu anayejua mahali ofisi za HTC hapa Dar, tafadhali nisaidie...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Za asubuh wanajamvi?ni matumain yangu mungu amewaamsha salama,bila yakuwasahau wale waliopo mahospitali polen na mungu aonekane juu yenu.kwa kifupi wadau mimi ninatafuta simu (smartphone) itakayo...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu! Samahani wapendwa anayejua jinsi ya kudownload Jamii Forum App kwenye Black Berry 9700. Naomba anielekeze au kama unayo link yake!,,,niandikie hapa! Ahsanten!
0 Reactions
1 Replies
778 Views
As having seen that some areas in science field have been not taken care of in this part whereby most of posts are relating to computer or technology, I have just decided to bounce in the other...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hapa lazima tukubali tu kwamba kwenye design Apple wanakwaa barabara wengine wanafuata tu. Hii S6 haihitaji miwani kuona kwamba Samsung wamekopa vitu vingi vya kimuundo kutoka iPhone 6, kumbuka...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu simu yangu huawei y 300 imegoma kupandisha chaj, imekomea asilimia tatu tu. Nikichomoa inazima, nikichomeka inakomea 3%
0 Reactions
0 Replies
754 Views
habari ndugu wana jamii!" naomba msaada juu ya kupata games ambazo zinakuwa converted mfumo wa ELF kwa ajili ya Ps (za kuweka kwenye flash) !NB : kama mnaweza kunipa linki (ambayo nitaweza...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Husika na hicho kichwa cha habari mimi ni novice programmer nahitaji programmer yeyote aliye Dodoma tuwe tunakutana weekend na ku develop apps na systems ili kwenda sawa na ulimwengu wa technohama
1 Reactions
0 Replies
587 Views
Jamani msaada nimenunua Techno M6 dukani mpya ila option ya kurestart na kushutdown haifanyi kazi. kuzima mpaka nishedule power itajizima yenyewe. Mwenye ujuzi ama niirudishe
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari wadau. kuna mtu kaniambia kuwa kuna frequency ukiingiza katika kin'gamuz cha azam na ukabadili muelekeo kidogo wa dish unadaka channels zote za cntinental,sasa alisahau kunipa frequency...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Ni wapi naweza kupata computer mbovu za laptop pleaz! Npm.
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Wandugu salaam, Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nimeamua kutumia Ubuntu as my OS, sasa napata shida ya kukonect na modem ya zantel ambayo ilikuwa inafanya kazi bila shida kwa os...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Kama wewe ni mtumiaji wa Android basi inawezekana tayari unajua kwa kiasi gani mfumo huu huru unavyobadilisha jinsi tunavyotumia simu zetu katika zama za sasa. Mara nyingi tuna- tuma mafaili...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari zenu wanaJf Niko Arusha sasa hivi, nahitaji kununua dish la bei ya kawaida, lenye ubora na lenye vifurushi vya bei nafuu, vipi nawezapata wapi huduma hiyo hapa Arusha? Vipi ubora wa haya...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Pengine nawe umeshuhudia Magari mengi ya kizazi cha kuanzia 2008 ya UK na USA yana taa ambazo zinawaka mchana. nikikutajia machache ni kama vile BMW, RANGE ROVER, ESCALADE n.k wengi waemkuwa...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom