1. Google: Larry Page & Sergey Brin
2. Facebook: Mark Zuckerberg
3. Yahoo: David Filo & Jerry Yang
4. Twitter: Jack Dorsey & Dick Costolo
5. Internet: Tim Berners Lee
6. Linkdin: Reid...
Habari wakuu, nina iphone 5s haisupport code so siwezi kuweka vocha wala kuingia Tigopesa, kama kuna njia yoyote ya kufix hii inshu naomba msaada tafadhali.
Habari JF,
Natumia simu tajwa hapo juu. Tatizo linakuja nikitaka kudownload apps playstore inaandika" there is insufficient space in the divice" Naomba msaada kwa anayejua anisaidie nifanye nini...
Habari, mimi napatikana kahama shinyanga nimenunua king'amuzi cha startimes mwezi uliopita 03/2015. Kwa promotion ya sh. 39000, nikapewa ofa ya kifurushi cha sh. 10000 kwa miezi mitatu. Tatizo...
Samahani waungwa, natumia simu TECNO H5 toka wiki iliyopita kila nikibadilisha Berti au kutoa line nikiirudisha inakuwa haionyeshi majina na SMS mpaka kesho yake ndo inaonyesha, kwenye SMS...
Samahani waungwa.natumia simu TECNO H5 toka wiki iliyopita kila nikibadilisha Berti au kutoa line nikiirudisha inakuwa haionyeshi majina na SMS mpaka kesho yake ndo inaonyesha,kwenye SMS hivi...
Habari zenu wana JF,
Mwenzenu nashindwa kabisa kuutendea haki ulimwengu wa digital maana Laptop yangu ya DELL LATITUDE E4300 inakuwa ina inastack na unakuwa huwezi fanya lolote zaidi na hata...
Wapendwa wataalamu, hamjambo wote?
Naomba kujulishwa mtindo na namna ya kutuma namba zangu za simu ya mkononi nje ya nchi ili mtu
huyo anipigie. Mathlani namba zangu ni 0759820395, je, nizitume...
Mimi sio mtaalamu wa mambo haya ila through hili jukwaa kidogo naelewa vingi sasa kuna hili bado sijalijua naombeni msaada
Mtaani utakuta matangazo mengi ya mtu akiwa anafanya kazi za kuweka na...
msaada jamani.....habari wakuu ni wiki sasa tangu tatizo hili litokee yani nimipost habari mpya adsense zinaonekana thn baada ya dk 5 zinapotea napost habari za kawaida no adult content
Nina smartphone,Huawei Y300 tatizo lake imekuwa inaniletea ujumbe huu "Unfortunately, the process com.google.process.gasps has stopped" kiasi kwamba nashindwa kuitumia kabisa na nimejaribu factory...
Msaada wa mawazo wadau. Kuna bidhaa nilinunua Ebay kutoka U.S.A. Ikatumwa kupitia USPS toka tarehe 9..mwezi uliopita, bado nikitrack inaonekana ipo njiani. Nina Wasiwasi maana imechukua mwezi na...
Habari za asubuhi wanajukwaa.<br><br>Ninayo iPad ya Apple version 2.2(740), nashindwa kufanya vitu vifuatavyo:-
1. Kuangalia salio bila kutoa mono chip ya airtel ninayotumia ili niweze kuweka...
Msaada jamani, nimenunua cd orijinal ya kwaya (dvd) na kwakuwa naipenda sana nilitaka kuihamishia kwenye PC but nimeshindwa kabisa...
msaada tafadhali..
cc. chiefmkwawa
Kama heading inavyoeleza,ninaomba product key za ms office professional edition 2013. Ninataka kufanya installation,ninaomba msaada wa kuzipata. Ahsante.
Nimeweka leo hela kwenye account ya CRDB kwa lengo la kuitransfer kwa mtu mwingine. Cha ajabu hiyo hela inaonekana kwenye available balance, actual balance ni 0. As a result kila nilitaka kufanya...
Naomba kusaidiwa,kuna documents najalibu kudownload from my email attachment zinakataa,napokea ujumbe usemao"there is no installed app that can open this attachment.Try downloading an appropriate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.