Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa wapenzi wa simulator games, Car Mechanic Simulator game ni moja kati ya magem bora ya magari coz linakupa vursa ya ww kushika spana na kuanza kulitengeneza then kuendesha kila aina ya magari...
0 Reactions
1 Replies
786 Views
Hivi tigo wameifunga fb ya bure au ni kwangu tu..,eti wadau?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu, kuna Lenovo G40 ambayo nilikuwa nataka kuifanyia Installation ya Windows 8.1, maana imekuja mpya ikiwa na Windows 7 pre-installed. Nikawa nimefanya preparation ya Bootable USB...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
watu wengi sana wa ICT programmers na software engineer wanashindwa kutangaza kazi zao MARKETING ni tatizo kwao
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta wauzaji wa covers za htc one wanaopatikana hapa hapa Tanzania mana nimejarbu kutafuta sana bila mafanikio, naombeni msaada kwa hili.
0 Reactions
1 Replies
722 Views
Kwa aliye na motherbord tajwa hapo juu tuwasiliane kwa no 0713821285
0 Reactions
0 Replies
786 Views
nina iltel kila mara inajizima pia mara kwa mara inaonyesha memory imejaa wakati kuna 4gb memory nisha irestore mara kibao
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau kuna jamaa nilikuta ana tendency after every week ainaingia somewhere ( siijui nataka msaada apa) anafuat temporary files, yanakua mengi sana! binafsi sijawai fanya ivo kwa mashine yangu na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habar wanandugu, nimenunua simu taja hapo juu nmekumbana na tatizo kila nikijarbu kuupdate na kuinstall app kupitia play store napokea info inayoonesha kuna error sifaham kutatua hii shida. Msaada...
0 Reactions
5 Replies
871 Views
hallo wadau naomba nipate msaada wa procedure za wakuweka password kwenye folder la computer natumia window seven..
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Laptop ni mpya kabisa baada ya siku kadhaa za matumizi nilipo iwasha msg isemayo ''no bootable device, please restart'' inatokea ..nikajaribu kupiga window shida ikajaonekana kua harddisk haina...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wataalamu kuna madhara gani kama huta update application ambazo zinahitaji kufanyiwa hivyo kama chrome,map,gmail,google n.k
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nataka kuanzisha internet TV station, Je! Naitaji niwe na software gani au nitumie njia gani kuwafikia watazamaji?
0 Reactions
10 Replies
4K Views
HAbari wana jamvi,mwenzenu nimeibiwa sim na vibaka wale wakuloa sim wakati wa usiku nikiwa ni melala sim haina hata wiki mbili nilitaka kujua kama naweza kuitrace kwa kutumia IME...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari jf,naomba mnisaidie software au codes za kuweza kuona sms,calls,location za mtu mwingine kwa kutumia laptop ili niinstall kwenye laptop.
0 Reactions
3 Replies
712 Views
Wakuu niliwahi kuwa na game ya DRAFT kwa Laptop yangu ila kwa bahati mbaya nikaifuta lakini site ninoingia nashindwa kuidownload tena kwa pc yangu, je kuna yeyote humu ndani mwenye kuwa nayo humu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kuna simu flani hivi kubwa zinA chata ya Apple like iphone hivi hizi zinaitwaje??
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Simu HUAWEI Y511-U30: Naomba msaada Network ya Mtandao wa Tigo imepotea tangu jana imeweka alama ya ''X''. Siwezi kufanya chochote kupitia mtandao wa Tigo. NIFANYEJE Experts
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilikuwa na CD ya drivers za Dell inspiron n5050 sasa kwa bahati mbaya imeharibika. Naomba msaada ni vipi naweza kudownload drivers za dell inspiron n5050? Haza VGA drivers na zile za ku- unzip...
0 Reactions
4 Replies
928 Views
naombwa kufahamishwa njia za kuunlock phone kwa kutumia imei msaada
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Back
Top Bottom