Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wapendwa wangu..kuna Apps nyingi za kudownload video's Instagram..Natumia Android Phone..kuna Apps mbali mbali zilizopo Playstore Nahitaji msaada kutoka kwenu wataalam wa Jukwaa...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Ni website ya Law Reform Commission of Tanzania. from google cache
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Game simple lakini addictive, Helps you improve your memory na concentration.. Pakua kutoka hapa, Rate na toa comment play store...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
AnTuTu Report: Best Android Smartphones 2014 Posted: 2015-01-12 , by AnTuTu 2014 is a great year for mobile device industry. Numerous flagships of big brands and also some black horses run into...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Vuta pumzi alafu fikiria, kichwa cha mtu mmoja mzima aliyehai mwenye tatizo na mwili wake wa chini kwa sababu mbalimbali iwe ni ugonjwa kama kansa au ulemavu wa kupooza kikatwe na kuhamishiwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Washusha mizigo tumeingia kwenye mtihani mkubwa baada ya Kickass kuendelea kuandamwa kila kukicha kuhusu suala zima la copyright infringement! Mkombozi wetu huyu anabanwa kila kona kiasi kwamba...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi there! I left my hp min laptop for 2years secured with my common password to other electrical gadgets. I recently sussed my passord doesnt work anymore in this min-laptop. Please is there any...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu habari zenu.naomba kujua majina ya internet downloader zisizo na usumbufu ambazo naweza ku download mavitu kwenye mtandao?picha,muziki nk?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ni siku ya tatu sasa nashindwa kufanya usajili kutokana na ubovu wa mawasiliano kati yangu na watu wa huduma kwa wateja kupitia 0764700800.naomba mwenye kujua mbinu mbadala ya kuwapata anijuze...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jinsi ya kupata network kwenye iphone 4s maana nili reset network hivyo kwa sasa cpat kabisa mtandao
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf mimi nina Huawei 530 ambazo huuzwa na tigo.Nataka kujua kama ninaweza kuiflash ikawa inatumia line zote pia napenda kufundishwa jinsi ya kuflash sim kwa kutumia computer...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Why am I seeing the message "Your number is no longer allowed to use our service"?If you are unable to use WhatsApp and you are receiving the following message: “Your number ... is no longer...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninaomba kufahamu namna ya kujiunga na kile kifurushi cha tigo cha bila kikomo cha sh1000 ambacho kikomo chake ni mpaka kimalizike.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello, kwa yeyote alienaproduct tajwa hapo juu au mwenye Connection ya hii kitu naoma ani-PM. Hata kama upo mbele naoma tucheckiane, naitafuta hii mambo. Regards, Chief
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Habari wakuu, kwanza poleni na majukumu. Wanateknolojia naomba maelezo ya kina kuhusu RAM, ROM, CPU,MEMORY, mana nachojua ni RAM is used to store data and program instructions. sijui inafanyaje...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu..Nina shida tatu ambazo kila nikiingia net lazima Pc yangu iniletee hizi mambo ingawa sizipendi hata kidogo hivyo naomba mwenye sokution anisaidie..Tafadhali,tumia lugha nyepesi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Okay wadau kama mnakumbuka previous niliongelea launcher ilikua inaitwa "SOLO LAUNCHER" kama ilikupita kaitazame hapa Furahia simu yako hapa ... Okay leo nawaletea launcher ingine matata sana na...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wanajukwaa! Sio siri kuwa website ina nuru kubwa na taswira pana sana ya tech! Na kuzingatia hili ndo maana nikaleta special thread hii kwa ajili ya kujadili, ku share na kushauriana kuhusu haya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu ka ideos kangu kamejilock pattern, kanaomba email lakin data iko off je njia gan ya kunlock
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi karibuni Channel ten wamebadili frequency. Mwenye frequency mpya tafadhali naomba anisaidie!
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom