Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mpaka Sasa Sijajua Nikanunue Ipi Jamani Wana IT Msaada N:B Ni Mlevi Mzuri Wa Social Network i.e Instagram,Jamii Forum
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari! Nina samsung galaxy tab 10.1 inashindwa kusoma line ya simu na ukiangalia kwenye settings hakuna option ya mobile network. Nimejaribu kuireset lakin tatizo bado liko vilevile.. naomba...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Wakuu naomba kujuzwa namna ya kudownload nyimbo mbalimbali na kungalia you tube anonymously. CC snipa, Njunwawamavoko
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Microsoft's annual Build conference in San Francisco has, in recent years, become the place for product announcements, but there have been few surprises -- until now. Today's three-and-half-hour...
1 Reactions
0 Replies
813 Views
Habari wakuu,.. mwenye product keys za ku activate business in box software naomba anisaidie,..
0 Reactions
0 Replies
737 Views
wataalam nimenunua strong receiver srt 4922A,sasa nataka kupata channels za mpira katika eutelsat 7e kupitia channel za aljazeera au irib katika arabsat 5A @ 20'E,nifanyeje wakuu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kiujumla wengi wetu tunatumia Android phone ingawa c 100% ila wengi wao wapo na android phones.. Hivyo nimeona ni bora kuanzisha hii mada ili kila mwenye tatizo la android phone aweze post na...
0 Reactions
88 Replies
14K Views
Hello Bandugu, Week moja iliyopita nilitoa Tangazo la Kutafuta MacBook Pro, lakini ni mtu mmoja tu alienitafuta na bei yake ilionekana kuwa kubwa sana. Hivyo nimebadili sasa nataka Acer Aspire...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Hiv ni application gan ambayo iko vizur xn kwa ku edit picha? nataka ambayo ni the best
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, Naomba msaada wa kujuzwa apps ya kuangalia live futball match
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba mwenye program ya aina hii print hp laserjet 1010 naomba msaada
0 Reactions
4 Replies
941 Views
Wana jf ,habarini za asubuhi,Jana walinipitia vibaka wakanikwapua simu mbili,ikiwemo ipad moja ambayo ni android,mwenye utaalamu wa namna ya kuitress tafadhali
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jus post your IMEI and i'll post you the UNLOCK CODE right here or through PM if you prefer. How to go about after th@? Insert any other SIM in your modem and it will ask for a unlock code and you...
1 Reactions
34 Replies
16K Views
Naomba mssada jinsi ya kudelete hili file \Program Files\Cyti Web\bin\09c3ffd6f1a34fde86e1d448e8559c21.dll; Kila nikidelete lina kataa ni scan linakuwa detected na disinfection inafail naomba...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Nimerudi tena tangu wiki iliyopita niliomba msaada lakini naona mmenichunia hakuna hata mmoja aliye nisaidia tofauti na wengine wakiomba msaada wanasaidiwa Narudi naomba nisaidieni ni wiki moja...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
habar wakuu naomba mwenye kufahamu namna ya kuondoa bios password anisaidie coz laptop yangu n dell inspiron 3521msaada jaman nimechanganyikiwa
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari ndugu wana jf baada ya kujipanga kwa muda mrefu hatimaye nimefanikiwa kununua laptop kutokana na ukosefu wa umeme nataka kununua betri ya gari na inverter halafu natumia kama source of...
0 Reactions
5 Replies
945 Views
Kwa Hii error ya IDM nahisi wame fix uchakachuzi wa aina yoyote nime download all latest crack files za torrent lakini bila bila Nimefuta previous keys kwenye Registry lakini bado bila bila,mwenye...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari ya wadau kama kawa katika pekupeku zangu nikakutana na hii launcher. Kwa kweli nimeipenda kwa kiasi chake kwani ka-Huawei Y300 kangu kanazidi kua katam zaidi ya mcharo .... Launcher...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina simu yangu aina ya iphone 4, inakamata mtandao nikiwa sehemu zenye mnala wa lain husika... Naomba msaada kama kuna mtu anajua tatizo laweza kuwa ni nn... 😿🙏🙏 Au kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom