Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu habar zenu!!! nataka nitumie app za windows kwenye os ya linux,nitumie njia ip kla nikiinstall znagoma.mwenye ujuzi anajuze plz
0 Reactions
3 Replies
933 Views
Habarini ndugu , ningependa kujua kama kuna mtu yeyote anaprovide hii service au kama unamjua mtu yoyote naomba tafadhali unisaidie, nahitaji hii huduma Ahsanteni , na siku njema
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu poleni na majukumu Shida ni kwamba natumia galaxy s4 gt i9505 jana nikawa najaribu kuingiza apps za kuroot simu yangu ila sikufanikiwa sasa leo asubuh naamka na sim ilikua on nakuta volume...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wakuu habar zenu!!! nataka nitumie app za windows kwenye os ya linux,nitumie njia ip kla nikiinstall znagoma.mwenye ujuzi anijuze plz
0 Reactions
2 Replies
765 Views
naomben msaada wana jamvi nina huawei tajwa hapo juu screen yake ubazi mmoja hai respond ubazi mwingine uko poa nani anaweza nipatia soln 0715661861
0 Reactions
0 Replies
513 Views
I need your hell guys my laptop is Toshiba has window 8 so I need to activate it, I already have an activator the issue is coming in the product keys of an activator Can you help me to have that...
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Msaada wakuu laptop haina sauti, kwenye icon ya voice imeweka red X.nmejaribu Ku update drivers bado..ila pia nikijaribu kuangalia device manager sioni driver yoyote ya Sauti. laptop ni Toshiba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wadau wa GTA V PC, wapi bongo naweza kununua hili game?
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Wakuu,Naombeni ushauri ,nimetengeneza mtandao wa kijamii wenye mazingira mbalimbali kama vile,Habari kwa ujumla,forum,Mtandao na Link ya ajira,Ikiwa kama ni wataalamu naombeni ushauri wa kimawazo...
1 Reactions
5 Replies
965 Views
Mimi Nina com ya itel1501,Nina tatizo la kushindwa kudaunilodi picha za vdo kutoka fb,naombeni msaada. ...
0 Reactions
3 Replies
938 Views
Tarehe 28, Aprili 2015 ndio tarehe rasmi iliyotangazwa LG G4. Specifications peke yake hazitoshi kusema kuwa simu itafanya vizuri kwenye maisha halisi. Ila kama ni trend au muendelezo wa LG G2 na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Jaman naombeni mnitumie link za scholarship ili ni apply mwaka huu Natanguliza shukuran kwenu, asanten sana
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Anahitajika web designer mwenye uelewa wa hali ya juu kuhusu DRUPAL CMS kwa ajili ya kuongeza features kadhaa kwenye website. Mwenye ujuzi huo tuwasiliane kwa PM au mwenye kumjua mtu wa aina hiyo...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
"CTB-Locker Malware Attack! Dear friends, Has anyone experienced this? URGENT HELP NEEDED! Yesterday, i recieved an email via official univeristy student account, with an attachment! When i...
1 Reactions
2 Replies
821 Views
Bongo bwana...sasa ndio nini hii Website ya wizara ya Afya... Na wameajiri watu kwa kazi hii? Hivi kweli hata kama mnatumia CMS, sawa basi hamuwezi kutengeza custom error handlers, ndio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi wana JFNaomba msaada wa Serial Number/Keys za ABBYY Scan to office software, nilidownload trial version sasa inanihitaji ninunue.Yeyote mwenye msaada wa kupata FREE serial numbers please.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Have you ever heard about Internet of Thing????, Here it comes now you can control every home equipment by using your smartphone,you probably no need to turn of your light switch manually at night...
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Jamani wana Jf naombeni mnisaidie, nahitaji kununua computer leo lakini sijajua nianzie wapi? au ninunue computer gani? hivyo basi naombeni mnisaidie wataaalamu ninunue ipi? na ni vitu gani...
1 Reactions
3 Replies
920 Views
Naomba msaada wa laptop yangu ambayo huwa naifungua kwa password. Ghafla password niliyokuwa nukiitumia haikubali. Niliyokwisha fanya ni yafuatayo: 1. Nimehakikisha capslock iko sawa ili nisije...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nimeingia jf jioni hii nakutana na rangi nyeusi badala ya ile nyeupe niliyoizoea kwny mobile app. Ni vision mpya au ni simu yangu tu?
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom