Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba msaada wa kupewa site ya kudownload free vectors kwa jil ya kudisgn. Msaaad plsss
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi nahitaji print card ya photocopy machine IR 2016 Kwa aliyenayo tuwasiliane kwa pm
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari wanajamvi? msaada kama ninaweza kupata key za data recovery PRO kwasababu nimeformat data katika local disc hivyo nimejaribu kurecover vitu vyote vinaonekana lakini inasema hadi niwe na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habarini zenu jf naombeni msaada nina movie katika laptop yangu ambazo zipo katika lugha za kirusi na zingine kichina sasa hebu niambieni wakati naplay can i change language to english?natumia VLC...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimeuliza dukani bei ya LG TV nikaambiwa ni Tsh 650,000 kw inch 32. Lakini Muhindi akanishawishi kununua HITACHI kwa 600,000, baada ya kuniuliza iwapo natumia mwenyewe ama naenda kuuza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimejaribu kuunganisha tv aina ya samsung LED na simu samsung note3 kwakutumia waya USB lakini sikupata matokeo. Lakini ilikuwa rahisi sana wakati natumia simu ya nokia..naomba utalaamu wenu nini...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari waungwana Nimekuja kuitambulisha statups yangu hapa inaitwa Street ICT ni wazo nililoanzisha nikiwa chuo mwaka 2013 mwezi wa 10. Street ICT inajishughulisha na utowaji wa elimu hasa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu,, Naomba kwa anayefahamu anapopatikana wakala wa HTC kwa hapa Dsm anijuze,, natanguliza shukrani..!
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kwa mwenye kujua frequance zao mpya na kila kitu pls anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
807 Views
Tembelea site yangu ambayo ni JPM Subtitles halafu jaribisha kutengeneza uone jinsi ilivyo rahisi....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
waungwana habari za majukumu na imani mungu anasaidia niko na shida inayoitaji mtu mwenye uelewa mpana kiasi nimenunua box mpya kwa ajili ya kuunlock simu box zenyewe ni sigma na volcano utata...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
wakuu naomben msaada jaman! nime5umiwa sim ña kaka yangu toka china, aina ya cm ni haier ni matoleo mapya aya, ina androi ya 4.22 na ina option 2 za internet yaan 2g na 3g lakin 3g haisapot...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
naomba mwenye link ya whatsapp version mpya abiwekee iwe ni whatsFapp au nyingine
0 Reactions
12 Replies
4K Views
anayeijua hii nani mimi nimeikubali
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Mwenye uzoef na hiz mashine za kufanya huduma za kifedha apitie hapa anipe uhakika wa utendaj kaz wake....
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habar wakuu naomba kujuzwa namna gani ninaweza fanya ili bundle langu la kwenye simu nitumie kwa ajili ya pc kama wireless PC YANGU NI DELL NATUMIA WINDOW 7 NA SIMU NI TECNO M3 Natanguliza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamii, pole kwa wale wote mlio athirika kwa namna moja au nyingine kutokana na mgomo wa madereva hope now mpo majumbani mmetulia. Niende kwenye point Naomba mwenye licence key za...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu msaada please..!! Batani zangu za Pc zina staki(zinakataa kufanya kazi) moja baada ya moja kila baada ya muda. Tatizo ni nini?? Kuna namna ya kutatua tatizo au ninunue keyboard nyingine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeinstall WhatsApp+ Reborn, kila step nimemaliza but nashindwa kutuma wala kupokea ujumbe. Nimejaribu kuomba nitumiwe text, kwa mtumaji inaonekana text imenifikia lakini kwangu nashindwa...
0 Reactions
6 Replies
719 Views
naulza ntapata wapi GTA kwa wilaya ya kilosa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom