Habari zenyu wakuu.. Hili Swali langu linalenga Devices za Androids.
Nafahamu Kuwa unaeza ukafanya Teathering n turn your phone into a wifi hotspot sasa SWALI langu ni kwamba JE inaezekana...
Habari ndugu, I've been using a Lexus IS200 Sportcross (sawa na Altezza Gita) for the past two years, now I'm kind of fallling in love with the wagons.
Sasa nafikiria upgrading to BMW 3 series...
DU HACKERS NI NOMA! JARIBUNI KUFUNGUA WEBSITE YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU Hacked By GeNiuS-JorDan muone walichofanya hackers!
Wamehack hiyo site na kuacha majina yao na contacts zao na bendera( i...
Window 10 ya mwisho HAKUNA Window 11
Microsoft to stop producing Windows versions - BBC News
Windows 10 is going to be the last major revision of the operating system.
Jerry Nixon, a Microsoft...
Hapari wakuu, ninataka kufunga VIOP nyumbani kwa kutumia linux as my PBX server kwa kuwa sitatumia gharama nyingi.
Kama kuna mtu ana ufahamu zaidi wa VIOP setup ambayo ni cost effective tupeane...
Naomba kushauriwa kuhusu jambo hili. ninalo group kule facebook lenye member zaidi ya elfu kumi na kila siku ninaongeza takriban wanachama mia moja. nawezaje kunufaika kibiashara na hili group?
Nime download application ya ku run android app kwnye PC inaitw bluestack. Lakini niki anza ku install app ya android kwny pc ina fail je tatzo ni nini!
Waungwana wa jukwaa hili, Hamjambo wote?
Nionavyo, jiji la dar linahitaji mapinduzi makubwa ya kiteknolojia kwenye eneo la usafiri wa barabarani. Watu wa dar wataishi na foleni mpaka lini...
Habari wana JF.
Nilikua naombwa kufahamishwa nawezaje kujua specifications za simu katika kuikagua simu husika bila kuamua kuisearch ktk net au kuangalia box lake.
Mara nyingi naenda katik...
Niko kwenye harakati za kutengeneza Application ya Simu itakayowezesha Madereva kujua njia ambazo ziko congested na kuweza kutumia njia Mbadala.
Mfano:
Utaweza ku-interract na watu ambao wako...
Kutokana Na sababu ambazo sijaweza kuzifahamu inatokea kwamba tunaotumia windows phones tunapata wakati mgumu katika kutuma nyimbo "audio files" kupitia whatsapp. Sasa twende kwa pamoja...
Wanajf kama ulikuwa hujapata habari hii! basi hapa panakuhusu sana,ogwatsapp inapatikana kwa wale mlioimiss kwa muda tangu na ambao hamkufurahishwa na ujio wa WhatsFapp basi karibu urudi enzi...
za asubuhi wadau polen na majukumu hebu ninaomba msaada kwa niaba ya wengine pia jinsi gani unaweza kuzuia adds zisitokee wakati unaperuzi mtandaon na hata ukishadownload baadh ya apps zinakuja na...
wakuu,
naweza vip kuzuia pop up zinazojifungua pindi nikiingia kwenye websites mbalimbali?
kwa mfanohii hapa ilojitokeza nkia hapahapa jf
nb natumia windows 8
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.