Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu naomba nieleweshwe kama unaweza kuinstall WhatsApp kwenye iPad. Nawasilisha plse!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada kwa hii simu yangu ni mwez wa tatu tu tangu nimeinunua lakin cha ajabu ninapoitumia mf nikiwa online upande wa juu wa screen inapata moto ajabu halafu nikiacha kuitumia haiwi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari waungwana! Kwa wale wajuzi wa settings za computer/mipakato naomba mnijuze ktk hili. Natumia laptop HP620, W7 ultimate. Lakini issue iko pale ninapofanya typing, ninapobonyeza SHIFT then...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hii IDM Alitupatia Paje humu ndani kitambo kidogo, nikawa nimeisave kwa dropbox, so anayehitaji just click below link, no key, no registration & neva update... Link: http://bit.ly/IDM_kiboko
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wana jamvi? natumia galagy y gt~s5360 ni android phone yenye virsion 2.6.3 lakin haina play store nimeinstall lakin kuifungua inadai ni add account。
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Habari zenu? Nahitaji fundi wa laptop wa uhakika anisaidie kumalizia kuweka windows. Manake nimekwama naona inaniletea maelekezo nisiyoyaelewa. Kwa anayeweza kunisaidia aniPm mie nipo Dar.
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Habarini wadau naomba msaada wenu kuna mstari wa Blue unatokea kwenye kioo cha laptop yangu japo haijafikisha hata mwaka toka inunuliwe lkn unatokea mara chache chache sana kama baada ya miezi 3...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wandugu heshima kwenu.naomba msaada wa kunijuza hili tatizo la tablet yangu g9 inadoa limetokea juu ya kio chake sijajua tatizo limesababishwa nakitugani mwenye kumjua fundi au aliyewahi kukutana...
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Wakuu naomba msaada kabla sijaamua kununua modem ya TTCL nimekua nikiskia kwamba modem ya TTCL inaSpeed kubwa uwapo sehemu yoyote ile tanzania hii hata maeneo yale ya kijijini ambapo hakuna 3G...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je nikitumia simu yangu kusikiliza nyimbo,kuchat facebook,twitter,instagram,whatsapp,viber na social networks zingne apo ndo nimeitumia simu kwa asilimia 100?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mwenye kluger no C aliyeko kanda ya ziwa tuwasiliane kwa bajeti ya 15m
0 Reactions
2 Replies
807 Views
Siku ya tatu leo front key kama back na search hazifanyi kazi vizuri yaani mpaka uguse mara nyingi kitu ambacho sio kawaida. Lakini ukiitumia ikiwa kwenye charger zinafanya vizuri sana. Msaada...
0 Reactions
6 Replies
746 Views
Wakuu,TV yangu inatoa sauti fulani hivi kama inaunguruma. Yani sauti ya kawaida ya Tv iko poa. Ila kuna sauti fulan hivi back ground,yan kama ile sauti inayotolewaga na Friji ikiwa ina fanya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Jf. Naomba msaada natumia simu tajwa hapo juu.Toka jana imekuwa slow sana haisomi 3g naseti lakini bado iko very slow naomba msaada nifanyaje?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomben msaada wakuu katika hili..mwenye uelewa..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habar zenu....huawei y-330 inauzwa bei Tsh.95000/=
0 Reactions
1 Replies
715 Views
Hii simu inajizima kila mara msaada pia mara nyingine laini haisomi ?
0 Reactions
1 Replies
625 Views
Huu ni mtambo uliozinduliwa tarehe 15.5. 2015 kwa usalama Wetu Mods sticky huu Uzi tupate live mbinu za kimtandao tujiepushe kuingia mtegoni. Jf Siku zote litabaki kuwa kukwaa halali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeshangaa kidogo kuona Remote ya StarTimes inafanya kazi vizuri unapotumia kubadilisha Channels katika king'amuzi cha 1. Azam TV. 2. DSTV. Lakini nimejaribu kutumia ile ya Azam kwenye...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
habarini zenu wanajamvi .ni matumaini yangu muwazima wa afya kuna hii effect ya cartoon kwenye picha inakimbiza saana nimejaribu kuitafuta sijafanikiwa ama ni effects tuu za adobe photoshop...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom