Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nina kisimu changu Samsung Dual-SM-G355H.Kinanisumbua namna ya kuscreenshot.Cjui kuitumia.Naomba mwenye kufahamu nifanyeje anijuze ili niweze kuscreenshot maana ina uwezo huo lakin pa kubonyeza au...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni wapi naweza kupata hizi resistor (WireWound resistor) Specifically 1000 Ohm ,(1KOhm) Color code Brown, Black, Red.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nahitaji simu tajwa hapo juu kwa anayeiuza au anayeweza kunipatia msaada wowote wa namna ya kuipata yoyote kati yao naomba tuwasiliane hapa hapa jamvini.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada tafadhali,hivi kuna aina ngapi za HDMI cable/ports maana naona kwenye laptop yangu kuna port ya HDMI ambayo iko tofauti na ninazoziona kwenye dvd players au tv
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Nisaidie je naweza kuupdate s4 mini 4.2.2to kitkat 4.4, ninafanyaje. Au naweza kutumia update za nchi yoyote kmbrazil via odin na zitakubali?
0 Reactions
5 Replies
969 Views
Wataalam nahitaji msaada jinsi ya kupata desktop search engine, hasa kwa window 8. Mwanzo nilikuwa natumia GOOGLE DESKTOP SEARCH, lakini kwa windows 7 na 8 inakataa. msaada ps kama kuna search...
0 Reactions
6 Replies
934 Views
Je kuna madhara gani ya kutumia Laptop wakati umetoa battery nikimaanisha pale unapotumia umeme wa moja kwa moja bila kuwepo na battery katika PC. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Nimekuwa na maswali kutaka kujua hiki kitu Call Line Identity (CLI) inavyofanya kazi kwa nchi za wenzetu na kama ipo hapa nyumbani Tanzania, Je inafanya kazi kwa namna gani...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Salaam wakuu! Tafadhali nimebadili PC sasa ninaombeni link ninayoweza kupata application zifuatazo. 1. Application ya kucheza nyimbo both audio and video. kwasasa natumia VLC ila...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
inakuaje wadau?MImi naona kama ulikua unatafuta kitu google na ukakikosa page ya kwanza basi hukipati tena
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuunganisha sauti na picha, picha na video, au video na sauti. Nani ana uwezo? Nipm.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
yani dijaielewa kabisa. unaweza kuta imejinstall yenyewe kwenye simu kisha inakukomand kufanya settings ambazo zinadisplay kwenye home screenna bila kuzikubali huwezi kuzitoa wala kufanya chochote...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Nililetewa android phone aina ya G-tab 700+ kutoka Saudi sasa display imepasuka na touch haifanyikazi wapi nawezapata touch na itacost shilling ngapi? NATANGULIZA SHUKRANI
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika sekta ya ujenzi kuna teknolojia za kisasa zenye ubora na bei nafuu. Ningependa kujua toka kwenu wadau ambao wako sekta ya ujenzi au waliojenga hivi karibuni kuhusu aina ya milango ambayo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari. Nauliza wataalamu au wanaoutumia hivi ving'amuzi. Nina muda free television sizikamati isipokuwa tbc tu. Ni nini tatizo. Pia naomba kujua king'amuzi bora kwa sasa kwa FTA-free to...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba msaada Wa kuweza Kuiroot hii simu. Pili naomba Ku upgrade ifikie KitKat 4.4 Thsnks
0 Reactions
1 Replies
3K Views
hivi ukitumia simu kma modem inakula hela sana mb 200 kwa dk 5
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunapenda kuwatangazia kuwa tumetengeneza Android App inayoitwa Grab! Bajaj App. App hii inamwezesha mtu yeyote kuona orodha za bajaj zilizozopo karibu na eneo alipo (Tanzania) pindi anapotaka...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa anaetumia au anajua decoder za azam TV , je hizi decoder ni full hd kweli maana Kama zimeandikwa full hd Ila nashangaa bei yake ndogo Sana
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari wakuu,,! Jamani simu yangu inatatizo gani maana kila niki download kitu chochote nikitaka kukifungua inaniambia "File format not supported" ni simu aina ya Nokia ashia 303. Najua kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom