Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Za asubuhi wadau...mimi nauliza whatsaap plus ina fanya kazi?....nataka niitumie nawasilisha
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari ndugu wana jf poleni kwa usumbufu wangu wa kuomba msaada kila siku lakini ntafanya nini wakati sina ninachojua? TATIZO LANGU NI KWAMBA NILIKUA NA PICHA KWENYE MEMORY CARD AMBAZO NI...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hv ni application gan nzur kwa ajili ya ku download nyimbo za kusikiliza
0 Reactions
6 Replies
840 Views
Habarini Nahitaji msaada jamani, Computer yangu ina tatizo la kutokuwaka, ukiwasha inaleta mistari mingi wala haioneshi kitu nikadhani labda memory ina shida nikanunua memory ingine nikaweka...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau naombeni msaada kama ni kawaida jambo hili kutokea. Gari yangu kila nikiwasha AC inasababisha ukungu/unyevunyevu mkubwa kioo cha mbele hali inayonilazimi kufuta kwa waipa mara kwa mara. Je...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hivi katika mfumo wa umeme wa jua, kinachochaji betri kutoka kwenye panel na VOLTAGE au WATTS
1 Reactions
4 Replies
1K Views
For all of your questions relating to the android mobile phones Mwenye idea yoyote anaweza weka elimu yake hapa na mwenye swali anaweza uliza hapa na atajibiwa na mtu yoyote sio lazima niwe...
0 Reactions
3 Replies
799 Views
tigo anataka kuleta 4G hiv ataweza? maan 3G yenyew majanga kwake.
0 Reactions
18 Replies
5K Views
InnJoo Fire is the latest birth by InnJoo. InnJoo Fire Price and Specifications are abit different from InnJoo Note Pro. Check out the InnJoo Fire Price and Specifications. InnJoo Fire Price and...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Natafuta hizi cable mwenye kujua zinakopatikana.
0 Reactions
1 Replies
803 Views
Wakuu, heshima mbele. Naomba ni kujua hili, Nimeanzisha kijimradi cha kuchezesha game hizi zinazopendwa na watoto mtaani.Ninatumia screen mbili,cha ajabu ni kwamba umeme sasa tangu nianzishe...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni application gan nzuri kwa ajili ya ku edit picha?
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, Nina Nokia E51 huwa natumia kwa Internet na huwa natumia kwa laini ya Airtel. Sasa juzi wakati natumia ghafla mnara wa network ukapotea wote kwenye simu kukawa peupe hakuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Avira AntiVir Premium Avira has had a pretty good track record and its free antivirus continues to be one of the most preferred amongst the horde of free antivirus programs. So how does the...
3 Reactions
18 Replies
7K Views
Nina tumia simu angu huawei Y330 tatizo ni kwamba nikiweka line ya Tigo iwe inatumika katika internert halafu nikaweka 3G badala ya E ina niletea H au H+ sasa nikiweka voda hainiletei H wala H+...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Huwanakutaga sana neno java ktk simu nyingi zisizo na touch.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Nahitaji kujua mawasilano ya mke wangu yanayofanyika kwenye simu yake ya mkononi, yaani akitumiwa message kwenye simu yake iingie na kwenye simu yangu, pia akipigiwa simu na mtu mwngne simu iweze...
0 Reactions
28 Replies
27K Views
Habari za muda huu ndugu wadau kompyuta yangu ina tatizo la window inasemekana BIOS ina password ina sababisha kupiga window mara tatu tu. Baada ya hapo inakuwa inashindwa kuwa mpaka nitoe disc...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
habarini za leo wadau. naombeni msaada wenu wadau mnisaidie nifanye setting ya namna gani ilia kuzuia adds zinazojidisplay kwenye cm yangu ya tecno m5. yani ukiiunlock tu adds zinaanza hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini..... Kunawatu huwa wanashindwa kushusha media instagram Kama Photos na Videos.. Wengine wanachukua screenshot badala ya kupata Media halisi Kuna watu wengine wanapata shida mpaka watumie...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom