habari za asubuh...wakuu ninatumia tecno m3 lkn ina shida moja nikitaka kuupdate app nilizonazo au kudownload nyingine inaniambia hivi..'error download' niliambiwa nifute app ambazo sizitumii...
Kabla hujaniquote vibaya, hapa nazungumzia Tecno kampuni sio simu za Tecno.
1:- Brand names copycat
Kwa kampuni ambayo inajielewa, brand name huwa kitu cha msingi sana mana inapotokea umeiga name...
Kwa wale watumiaji wa airtel, pata kifurushi cha bei nafuu kukidhi mahitaji yako ya internet. Kwa tsh 1000 tu, utapata dk 60 za kupiga airtel kwenda airtel, sms bila kikomo, pamoja na internet...
1. Ukiangalia kwenye masinki ya toilet haya ya kwenye choo cha kisasa utaona kuna maji ndani hata ukiflash bado utaona maji hata swali hayo maji mle kwenye lile shimo yanatoka wapi?
2...
Hi,salam Zenu wanajamvi .
Ningependwa kujuzwa swala hili ,kwa kuwa simu zinaundwa kwa material yanayozidiana kiuimara na ubora je ni material yapi ambayo ni ya juu zaidi kiubora na ambayo ni...
Wapendwa wana JF naomba msaada kwa yeyote mwenye Manual Book ya remote RC Univers 22. Nina kisimbusi kimekufa remote yake. Kuna mpwa wangu aliniletea remote hii bila mannual book yake amboyo...
Nahisi kuna issue kuhusiana na hii app kwenye android as since juzi I can't view any topics that I participated or create whenever I go there I get nothing. Kama hapa kwenye hii pic
Habari Wakuu,
Kutokana na sheria mpya kuonekana kama ina limit free speech kwa kiasi fulani na segment mbali mbali za jamii, basi nikaona si vibaya tuka'share njia mbali mbali jinsi gani unaweza...
kuna jamaa wanajiita laser unicorn wali kickstart project yao inaitwa kung fury na walichangiwa zaidi ya $600,000 (zaidi ya 1.2 bilioni za kitanzania) moja ya matokeo yake ni movie yao fupi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.